Nimefumaniwa Na Mchungaji Usiku Huu

Nimefumaniwa Na Mchungaji Usiku Huu

Pole, wanadamu tunatamaa ila unatakiwa tuzishinde kwani tamaa na heshima hazikai pamoja. Ushauri wangu, tengeneza na Mungu wako pia katengeneze na kanisa na mchungaji wako pia jitahidi uoe ili uepuke uzinzi kwani unajiletea laana na vifungo. Kufanya dhambi yoyote ikiwemo huo uzinzi huku unasimama madhabahuni ni hatari sana. Ningekuwa mimi ndio huyo mchungaji, ningekutenga na kukufukuza rasmi kanisani au lah, ningekusaidia kwa kukurudisha kundini na kukufungisha ndoa na huyo binti[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji1787]
We una busara sana
 
Naona unafanya utani wakati hili Ni swala la aibu, nimekosa usingizi usiku kucha
Swala la aibu mtoto wa kiume kutoka geto kumtomba mtoto wa kike??ulitaka akuone umetoka na kidume mwenzako geto kwako ndio angefurahi??acha ufarlaahh kaka kwamba yeye mchungaji hatombagi au???au "inawezekana" nae alikua anamwelewa huyo manzi wa kanisani na inawezekana umemzidi kete na yeye alikuwa kwenye harakati!!!Na koma kukosa usingizi kwenye swala ambalo ni haki yako huo ni unyokoo mbili!!
 
Safari ya mbinguni Ni ngumu sana. Nilikuwa na genye la kufa mtu, Hadi nikasahau kwamba nimeokoka. Nikampanga mrembo mmoja nikaingia naye ghetto baada ya mechi ile ltunafungua mlango nimsindikize, ghafla uso kwa uso na Mchungaji wangu, akaanza kunichana; " kijana ijumaa kuu hii unasubutu Kufanya uchafu kweli Restless? Nilikua nakuamini nakupa nafasi ya kuhudumu madhabahuni kumbe na wewe Ni mshenzi tu? Nipe flash ya Kanisa niondoke".

Baada ya kumpa flash na kuondoka, nilienda bafuni kunawa uso ili Kama Ni ndoto ikate lakini haikuwa Ndoto!

Kwa kweli sijalala, nimewaza Hadi sasaiv. Heshima niliyojipatia kwa muda mrefu imepotea kifala kwa dakika 2 tu 😩
Bado haujaokoka kijana.Mlokole safi hatumii maneno kama genye au ghetto.Ungesema uliingiwa na roho mtakatifu mkasemezana(genye).Na getto ungeita madhabahu ya kutolea dhabihu safi.
 
Safari ya mbinguni Ni ngumu sana. Nilikuwa na genye la kufa mtu, Hadi nikasahau kwamba nimeokoka. Nikampanga mrembo mmoja nikaingia naye ghetto baada ya mechi ile ltunafungua mlango nimsindikize, ghafla uso kwa uso na Mchungaji wangu, akaanza kunichana; " kijana ijumaa kuu hii unasubutu Kufanya uchafu kweli Restless? Nilikua nakuamini nakupa nafasi ya kuhudumu madhabahuni kumbe na wewe Ni mshenzi tu? Nipe flash ya Kanisa niondoke".

Baada ya kumpa flash na kuondoka, nilienda bafuni kunawa uso ili Kama Ni ndoto ikate lakini haikuwa Ndoto!

Kwa kweli sijalala, nimewaza Hadi sasaiv. Heshima niliyojipatia kwa muda mrefu imepotea kifala kwa dakika 2 tu 😩
Mchungaji alijuaje kama umetoka maabara?

Tubu dhambi ya uongo
 
Safari ya mbinguni Ni ngumu sana. Nilikuwa na genye la kufa mtu, Hadi nikasahau kwamba nimeokoka. Nikampanga mrembo mmoja nikaingia naye ghetto baada ya mechi ile ltunafungua mlango nimsindikize, ghafla uso kwa uso na Mchungaji wangu, akaanza kunichana; " kijana ijumaa kuu hii unasubutu Kufanya uchafu kweli Restless? Nilikua nakuamini nakupa nafasi ya kuhudumu madhabahuni kumbe na wewe Ni mshenzi tu? Nipe flash ya Kanisa niondoke".

Baada ya kumpa flash na kuondoka, nilienda bafuni kunawa uso ili Kama Ni ndoto ikate lakini haikuwa Ndoto!

Kwa kweli sijalala, nimewaza Hadi sasaiv. Heshima niliyojipatia kwa muda mrefu imepotea kifala kwa dakika 2 tu [emoji30]
Acha kujipakinisha wewe. Endelea kugegeda.
 
Mchungaji ni mwepesi wa kuona kibanzi. Amekuona tu na binti tayari amekuhukumu. Ulimwambia umetoka kufanya uasherati? Au aliongozwa na roho? Kama MUNGU wako aonaye sirini alikuona na hajakushukia kukunyang'anya flash aliyokupa huyo mchungaji usimuogope kuliko MUNGU.
 
Sahihi sana mkuu nimewaza pia mchungaj kathibitishaje kuwa jamaa kafanya ngono? Kama ni majibu baada ya kumuona huyo dada basi kuna uwezekano mkubwa ana uhusiano na huyo bidada na kilichotokea ni wivu.
 
Hili nalo linawezekana. Mzinzi huwa mwepesi sana ya kuhitimisha kuhusu uzinzi. Hata mkeo ukiona ni mwepesi sana wa kufahamu mazingira ya ww kutoka nje usidhani ana wivu, ni kwamba anauzoefu. Anajua mtu aliyetoka kuzini anafananaje sababu ana uzoefu.
 
Huyo mchungaji ni walewale.
 
Back
Top Bottom