Nimefunga ofisi ya kuchomelea, nauza vitendea kazi vyote

Nimefunga ofisi ya kuchomelea, nauza vitendea kazi vyote

The last don

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Posts
1,166
Reaction score
1,421
Ndugu WanaJamiiForums..Nauza Vitenda kazi vifuatavyo.
1. Grender kubwa Bosch GWS 22-230 H

2. Grender Kubwa Makita GA 9050

3. Compressor 24L Stanley Model D 200

4 . Slide Meter Saw kubwa Brand Mak Allister COD 3050DLSM

5. Heavy-duty Makita Drill Hammer with tool box accessories

6 . Bosch Drill & Makita drill
7 . Small Size Titan Angel grinder

Take all deal..nahitaji 1,000,000 only ( kutakuwa na vitu vidogo vidogo kadhaa kama bonus
Mawasiliano ( 0621973591)Dar Es Salaam
 
20260305_175954.jpg
 
Wadau nauhitaji mkubwa wa pesa na na nafunga hii ofisi...hivi vifaaa huwezi kuvipata kokote duniani kwa take all deal ya 1m hata kwa hivyo used.
Hiyo Bosch angle grinder ni Professional Heavy duty Angle grinder ambayo bei ya mpya haipungui 700k to 800k...nenda kaulize impala shop
Model Bosch angel Grinder 22-230H usikie bei yake..
 
Hiyo Makita drill hammer ni heavy duty na yenyew almost kama mpya imetumika kwa muda mchache sana bei yake haiwezi pungua laki tano katafute hiyo model
Makita Corded Drill Hammer HP2030
Nahitaji fast cash wakuu na hiyo ni special offer kwa fundi yoyote anayehitaji complete office au hata kwa mjasialiamali
 
Weka bei ya kila bidhaa kama ulivo ziorodhesha wadau watkuja tu
 
Okey kama wadau mnavyoshauri mnaotaka kimoja kimojaa...Bei hizi hapa chini...

1.Bosch professional Angel grinder Model GWS 22-230H bei ni 350k

2.Mac Alister Slide Metre Saw Model COD 305 DLSM bei ni 450K

3.Makita Hammer Drill model HP2032
Bei 200

4.Compressor Stanley 24Liter Bei 350k

5.Makita angel Grinder model GA 9050 Bei 250k
 
Huyu atakuwa ameviiba mahala akaviweka hapo kisha ameanza kuviuza taratibu,. Haiwezekani vifaa vyote hivyo viuzwe kwa 1m hata kama umekosa kiasi gani.
 
Small size titan angle grinder bei 80k
Small size bosch drill bei 80k
 
Huyu atakuwa ameviiba mahala akaviweka hapo kisha ameanza kuviuza taratibu,. Haiwezekani vifaa vyote hivyo viuzwe kwa 1m hata kama umekosa kiasi gani.
Afadhalii wewe umeliona hilooo...maana inaoneshaa peke yako ndio uliyegundua thamani ya hivyo vitu....Bt the way...kimfaacho mtu chake...mali halali mkuu shaka ondoaa
 
Huyu atakuwa ameviiba mahala akaviweka hapo kisha ameanza kuviuza taratibu,. Haiwezekani vifaa vyote hivyo viuzwe kwa 1m hata kama umekosa kiasi gani.
Wrong assumption boss ...mali ya wizi ikauzwa barazani na mtu ambae anaweka na mawasiliano yake kabisa...But Thanks kwa kuwaonesha wadau kuwa hizi tools ni value for money
 
Back
Top Bottom