The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,166
- 1,421
- Thread starter
- #41
Uteuzi wapii ndugu yangu...vijana wa KiDaslaam wameshindwa kuheshimu ofisi niliyowekeza...nimeamua nipate hasara na wao wafe njaa tuWeka bei ya Kila kimoja....umehamua kubadilisha fani!!!!au umepata uteuzi wa mama!
By the way bei nimeweka boss ya kimoja kimoja ingawa natamani nimpatie mtu mmoja tu akapambanie kombe na yeye mbele ya safari...so ni take all deal kwa leo