The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,166
- 1,421
Weka bei ya kila bidhaa kama ulivo ziorodhesha wadau watkuja tuHiyo Makita drill hammer ni heavy duty na yenyew almost kama mpya imetumika kwa muda mchache sana bei yake haiwezi pungua laki tano katafute hiyo model
Makita Corded Drill Hammer HP2030
Nahitaji fast cash wakuu na hiyo ni special offer kwa fundi yoyote anayehitaji complete office au hata kwa mjasialiamali
Afadhalii wewe umeliona hilooo...maana inaoneshaa peke yako ndio uliyegundua thamani ya hivyo vitu....Bt the way...kimfaacho mtu chake...mali halali mkuu shaka ondoaaHuyu atakuwa ameviiba mahala akaviweka hapo kisha ameanza kuviuza taratibu,. Haiwezekani vifaa vyote hivyo viuzwe kwa 1m hata kama umekosa kiasi gani.
Wrong assumption boss ...mali ya wizi ikauzwa barazani na mtu ambae anaweka na mawasiliano yake kabisa...But Thanks kwa kuwaonesha wadau kuwa hizi tools ni value for moneyHuyu atakuwa ameviiba mahala akaviweka hapo kisha ameanza kuviuza taratibu,. Haiwezekani vifaa vyote hivyo viuzwe kwa 1m hata kama umekosa kiasi gani.
umeviuza?Wrong assumption boss ...mali ya wizi ikauzwa barazani na mtu ambae anaweka na mawasiliano yake kabisa...But Thank kwa kuwaonesha wadau kuwa hizi tools ni value for money