The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,166
- 1,421
- Thread starter
-
- #21
Hiyo mishale ndio hulka yetu watanzania boss...usipokuwa na ngozi ngumu utoboi...nimeizoea mkuu achaa wanimalizeTatizo umetanguliza uhitaji wa fast cash, wadau hawatakuacha salama.
Inanipa picha nyingine mbaya ya ni kwanini anaifunga biashara yako. Labda mtoa mada ni mtu wa kupanic. Ni kwanini asingeweka mazingira ya kuchukua mkopo kwa dhamana ya hivo vitendea kazi?Tatizo umetanguliza uhitaji wa fast cash, wadau hawatakuacha salama.
Swali nje ya mada: Imekuwaje ukaifunga hiyo biashara? Au soko ni gumu kwa sasa kwenye welding?Hiyo mishale ndio hulka yetu watanzania boss...usipokuwa na ngozi ngumu utoboi...nimeizoea mkuu achaa wanimalize
Uko sahihi kabisa boss...hii biashara nimeipost jana nikiwa kwenye panic mode...sasa kwa vile nilishapost nimeamua kuacha hivyo hivyo only for today....lakini pia sihitaji kuendelea na hii biashara na sihitaji mkopo kutoka kwa mtu...hivyo best option ilikuwa ni kuviuza tuInanipa picha nyingine mbaya ya ni kwanini anaifunga biashara yako. Labda mtoa mada ni mtu wa kupanic. Ni kwanini asingeweka mazingira ya kuchukua mkopo kwa dhamana ya hivo vitendea kazi?
Soko sio gumu,mimi sio fundi nilikuwa mwekezaji ofisi haijanifaidisha kwa lolote kwa muda wa almost two years now na siwezi isimamia kwa ukaribuSwali nje ya mada: Imekuwaje ukaifunga hiyo biashara? Au soko ni gumu kwa sasa kwenye welding?
Nimeielewa point yako. Nimewaza ki-finance zaidi, kwamba unaweza kuviuza kwa style ya kuchukua mkopo kwa dhamana ya hivo vitu. Ni indirect way hiyo. Ila kwa kuwa hutaki mkopo hiyo ni sawa kuuza.Uko sahihi kabisa boss...hii biashara nimeipost jana nikiwa kwenye panic mode...sasa kwa vile nilishapost nimeamua kuacha hivyo hivyo only for today....lakini pia sihitaji kuendelea na hii biashara na sihitaji mkopo kutoka kwa mtu...hivyo best option ilikuwa ni kuviuza tu
Hapana Boss siwezi safirisha...nachoweza kufanya ni kusaidia logistic zote za usafirisha kwa gharama zako.Unaweza visafirisha
Ulijaribu kubadilisha watu na location? Maana hiyo biashara mbona huku mkoani watu wanaifanya vizuri tu? Ni kweli kwamba wa TZ wengi ni miyeyusho na wanajisahau sana. Ila pia waaminifu wapo, sema ndo hivo tena.Soko sio gumu,mimi sio fundi nilikuwa mwekezaji ofisi haijanifaidisha kwa lolote kwa muda wa almost two years now na siwezi isimamia kwa ukaribu
Boss vijana wakitanzania wengi ni waajabu sana...wanajisahau haraka mno...maamuzi yameumiza wengi ikiwemo na mimi mwekezaji...lakini nimehamua wajifunze in hard way.Ulijaribu kubadilisha watu na location? Maana hiyo biashara mbona huku mkoani watu wanaifanya vizuri tu? Ni kweli kwamba wa TZ wengi ni miyeyusho na wanajisahau sana. Ila pia waaminifu wapo, sema
Ofisi nyingi ambazo zinahusiana na mambo ya kiufundi, kama mwekezaji sio fundi mara nyingi ni hasara tu. Wafanyakazi wakishajua wewe huna knowledge lazima wakuumize, mara wasije kazini, mara wachukue kazi wafanyie kwingi e, bei, materials nk mwekezaji anaweza asiwe na uelewa navyo.Soko sio gumu,mimi sio fundi nilikuwa mwekezaji ofisi haijanifaidisha kwa lolote kwa muda wa almost two years now na siwezi isimamia kwa ukaribu
Niliwekeza only kwenye power tools kwa ajiri ya kufanya aluminium profiling na welding...nilikuwa nakijana wangu ambae alikuwa Welder Technician lakini alipata Green Pasture Njee hivyo ofisi ikabaki na vijana wa mtaani ambao wameshindwa kuheshimu uwekezaji wanguOfisi nyingi ambazo zinahusiana na mambo ya kiufundi, kama mwekezaji sio fundi mara nyingi ni hasara tu. Wafanyakazi wakishajua wewe huna knowledge lazima wakuumize, mara wasije kazini, mara wachukue kazi wafanyie kwingi e, bei, materials nk mwekezaji anaweza asiwe na uelewa navyo.
Je, ulikuwa unauza materials za kuchomelea kama square/round pipes, electrodes, discs nk? Au business model yako ilikuwaje!!
Weka bei ya Kila kimoja....umehamua kubadilisha fani!!!!au umepata uteuzi wa mama!Ndugu WanaJamiiForums..Nauza Vitenda kazi vifuatavyo.
1. Grender kubwa Bosch GWS 22-230 H
2. Grender Kubwa Makita GA 9050
3. Compressor 24L Stanley Model D 200
4 . Slide Meter Saw kubwa Brand Mak Allister COD 3050DLSM
5. Heavy-duty Makita Drill Hammer with tool box accessories
6 . Bosch Drill & Makita drill
7 . Small Size Titan Angel grinder
Take all deal..nahitaji 1,000,000 only ( kutakuwa na vitu vidogo vidogo kadhaa kama bonus
Mawasiliano ( 0621973591)Dar Es Salaam