The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,166
- 1,421
- Thread starter
-
- #41
Uteuzi wapii ndugu yangu...vijana wa KiDaslaam wameshindwa kuheshimu ofisi niliyowekeza...nimeamua nipate hasara na wao wafe njaa tuWeka bei ya Kila kimoja....umehamua kubadilisha fani!!!!au umepata uteuzi wa mama!
SOLD OUT.Ndugu WanaJamiiForums..Nauza Vitenda kazi vifuatavyo.
1. Grender kubwa Bosch GWS 22-230 H
2. Grender Kubwa Makita GA 9050
3. Compressor 24L Stanley Model D 200
4 . Slide Meter Saw kubwa Brand Mak Allister COD 3050DLSM
5. Heavy-duty Makita Drill Hammer with tool box accessories
6 . Bosch Drill & Makita drill
7 . Small Size Titan Angel grinder
Take all deal..nahitaji 1,000,000 only ( kutakuwa na vitu vidogo vidogo kadhaa kama bonus
Mawasiliano ( 0621973591)Dar Es Salaam
Daah mkuu umewaza mbali ila biashara ni soko huria..Huyu atakuwa ameviiba mahala akaviweka hapo kisha ameanza kuviuza taratibu,. Haiwezekani vifaa vyote hivyo viuzwe kwa 1m hata kama umekosa kiasi gani.