Nimefungua salon, kwa wiki nafunga hesabu 90,000/-

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,039
Reaction score
2,657
Mimi ni ticha wa private hapa town nimeamua kujiongeza na hiyo kitu fundi mwenyewe, ila kua ankali nipo nae,

Naomba ushauri nini kiongezeke, licha ya nilivyonayo, kuna TV nch 23, king'amuzi cha startimes, mashine zipo 6,nne za kuchaji, taa ya welcome inawaka kwa nje, kiti safi ila jumatatu naanza job za mapindi kibaruani, maoni na ushauri wako mdau wangu.
 
Naomba ushauri nini kiongezeke, licha ya nilivyonayo, kuna TV nch 23, king'amuzi cha startimes, mashine zipo 6,nne za kuchaji, taa ya welcome inawaka kwa nje, kiti safi ila juma 3 naanza job za mapindi kibaruani, maoni na ushauri wako mdau wangu.
Hongera sana Ticha hizo kazi ziningiza hela nzuri tu kama unafanya mwenyewe.

Hata boda boda inaingiza pesa kuliko kazi nyingi za kuajiriwa

Lakini Boda boda wenyewe ni choka mbaya. Hawaichukulii kama kazi
 
Weka king'amuzi cha Azam au DSTV, hasa cha Azam kitawavutia pia Washkaji wanaopenda kufuatilia soka la bongo huku wakisubiri kunyolewa

Weka Wadada wazuri wazuri figured wakusaidie kuosha watu vichwa na kuwachua...sio unaweka midume

Big Up Ticha
 
Mimi ni ticha wa private hapa town nimeamua kujiongeza na hiyo kitu fundi mwenyewe, ila kua ankali nipo nae,

Naomba ushauri nini kiongezeke, licha ya nilivyonayo, kuna TV nch 23, king'amuzi cha startimes, mashine zipo 6,nne za kuchaji, taa ya welcome inawaka kwa nje, kiti safi ila jumatatu naanza job za mapindi kibaruani, maoni na ushauri wako mdau wangu.
Ongeza draya
 
Hongera sana Ticha hizo kazi ziningiza hela nzuri tu kama unafanya mwenyewe.

Hata boda boda inaingiza pesa kuliko kazi nyingi za kuajiriwa

Lakini Boda boda wenyewe ni choka mbaya. Hawaichukulii kama kazi
Shukrani Leo jana panafurika wanafunzi nafunga hadi 30000 Noma Sana.
Ongeza draya
Shukrani, ndo ikoje iyo boss nipo uswahilin
 
Mimi ni ticha wa private hapa town nimeamua kujiongeza na hiyo kitu fundi mwenyewe, ila kua ankali nipo nae,

Naomba ushauri nini kiongezeke, licha ya nilivyonayo, kuna TV nch 23, king'amuzi cha startimes, mashine zipo 6,nne za kuchaji, taa ya welcome inawaka kwa nje, kiti safi ila jumatatu naanza job za mapindi kibaruani, maoni na ushauri wako mdau wangu.
Mimi sikushauri ukimbilie kufanya mabadiliko yoyote kwa sasa. It is too early.

Saluni za uswazi ukiipaisha tu wateja wanakata. Utashangaa, usije ukasingizia wachawi.

Nenda nayo hivyo hivyo Mwendo huo huo.
 
Hivi ndio wewe ulisema ulimleta ankali wako kutoka mbwinde aje kukusaidia salon wife wako akaanza vitimbwi
 
Mimi sikushauri ukimbilie kufanya mabadiliko yoyote kwa sasa. It is too early.

Saluni za uswazi ukiipaisha tu wateja wanakata. Utashangaa, usije ukasingizia wachawi.

Nenda nayo hivyo hivyo Mwendo huo huo.
Shukrani mkuu nipo huku uswahilini ila kuna pesa
 
Back
Top Bottom