nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Mimi ni ticha wa private hapa town nimeamua kujiongeza na hiyo kitu fundi mwenyewe, ila kua ankali nipo nae,
Naomba ushauri nini kiongezeke, licha ya nilivyonayo, kuna TV nch 23, king'amuzi cha startimes, mashine zipo 6,nne za kuchaji, taa ya welcome inawaka kwa nje, kiti safi ila jumatatu naanza job za mapindi kibaruani, maoni na ushauri wako mdau wangu.