nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Hongera sana Ticha hizo kazi ziningiza hela nzuri tu kama unafanya mwenyewe.Mimi ni ticha wa private hapa town nimeamua kujiongeza na hiyo kitu fundi mwenyewe, ila kua ankali nipo nae,
Naomba ushauri nini kiongezeke, licha ya nilivyonayo, kuna TV nch 23, king'amuzi cha startimes, mashine zipo 6,nne za kuchaji, taa ya welcome inawaka kwa nje, kiti safi ila juma 3 naanza job za mapindi kibaruani, maoni na ushauri wako mdau wangu.
Shukrani Leo jana panafurika wanafunzi nafunga hadi 30000 Noma Sana.Hongera sana Ticha hizo kazi ziningiza hela nzuri tu kama unafanya mwenyewe.
Hata boda boda inaingiza pesa kuliko kazi nyingi za kuajiriwa
Lakini Boda boda wenyewe ni choka mbaya. Hawaichukulii kama kazi
Ongeza drayaMimi ni ticha wa private hapa town nimeamua kujiongeza na hiyo kitu fundi mwenyewe, ila kua ankali nipo nae,
Naomba ushauri nini kiongezeke, licha ya nilivyonayo, kuna TV nch 23, king'amuzi cha startimes, mashine zipo 6,nne za kuchaji, taa ya welcome inawaka kwa nje, kiti safi ila jumatatu naanza job za mapindi kibaruani, maoni na ushauri wako mdau wangu.
Shukrani Leo jana panafurika wanafunzi nafunga hadi 30000 Noma Sana.Hongera sana Ticha hizo kazi ziningiza hela nzuri tu kama unafanya mwenyewe.
Hata boda boda inaingiza pesa kuliko kazi nyingi za kuajiriwa
Lakini Boda boda wenyewe ni choka mbaya. Hawaichukulii kama kazi
Shukrani, ndo ikoje iyo boss nipo uswahilinOngeza draya
Piga kazi weka heshima, acha kuhonga kileja leja. UtatoboaShukrani Leo jana panafurika wanafunzi nafunga hadi 30000 Noma Sana.
Mimi sikushauri ukimbilie kufanya mabadiliko yoyote kwa sasa. It is too early.Mimi ni ticha wa private hapa town nimeamua kujiongeza na hiyo kitu fundi mwenyewe, ila kua ankali nipo nae,
Naomba ushauri nini kiongezeke, licha ya nilivyonayo, kuna TV nch 23, king'amuzi cha startimes, mashine zipo 6,nne za kuchaji, taa ya welcome inawaka kwa nje, kiti safi ila jumatatu naanza job za mapindi kibaruani, maoni na ushauri wako mdau wangu.
Jichanganye uone. Kwa sasa sio muda wa kuongeza matumizi. Endelea kukusanya mapato kwanzaSasa wa dada si adi kuwalipa boss
sina ishu za wanawakePiga kazi weka heshima, acha kuhonga kileja leja. Utatoboa
SawaJichanganye uone. Kwa sasa sio muda wa kuongeza matumizi. Endelea kukusanya mapato kwanza
Hivi ndio wewe ulisema ulimleta ankali wako kutoka mbwinde aje kukusaidia salon wife wako akaanza vitimbwiMimi ni ticha wa private hapa town nimeamua kujiongeza na hiyo kitu fundi mwenyewe, ila kua ankali nipo nae,
Naomba ushauri nini kiongezeke, licha ya nilivyonayo, kuna TV nch 23, king'amuzi cha startimes, mashine zipo 6,nne za kuchaji, taa ya welcome inawaka kwa nje, kiti safi ila jumatatu naanza job za mapindi kibaruani, maoni na ushauri wako mdau wangu.
yaaaapHivi ndio wewe ulisema ulimleta ankali wako kutoka mbwinde aje kukusaidia salon wife wako akaanza vitimbwi
Shukrani mkuu nipo huku uswahilini ila kuna pesaMimi sikushauri ukimbilie kufanya mabadiliko yoyote kwa sasa. It is too early.
Saluni za uswazi ukiipaisha tu wateja wanakata. Utashangaa, usije ukasingizia wachawi.
Nenda nayo hivyo hivyo Mwendo huo huo.
Vipi vitimbi vinaendeleajeyaaaap