Nimefurahi jinsi Hersi alivyofanya leo Kwa Mayele na Mashabiki. Mayele anastahili Heshima kubwa sana.

Nimefurahi jinsi Hersi alivyofanya leo Kwa Mayele na Mashabiki. Mayele anastahili Heshima kubwa sana.

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Ndiye mchezaji pekee anayejituma sana hapa Yanga. Na Aziz Ki naye anajitahidi. Ila michezaji ya ndani imezubaa sana. Huoni hata ikiumia tunapopoteza points.

Nimependa Hersi jinsi ambavyo amepiga simu na kumuweka loud speaker Mayele akimtaka kesho kutupatia magoli. Mayele amesisitiza atatetema bila shaka. Na mashabiki wamesikia.

Yale matopolo mengine yajifunze kujituma. Heshima anayopata Mayele iwafundishe kuwa wanapaswa kujitoa mhanga kupambana. Wasiwe wanatembelea nyota ya mwenzao.
 
mmmh kupigiwa simu tu unaona cha ajabu
 
Back
Top Bottom