Nimefurahi kukutana na Gentamycine

Mkuu na huyu anajiita Rapa Gentamycine ni ID yako pia?
Huyo anayejiita Rapa Gentamycine siyo Mimi kabisa na aliianzisha hiyo ID Kimkakati ili Kuifunika hii Brand ID yangu ya GENTAMYCINE kwakuwa Kipindi hicho anaianzisha nilikuwa ni Mmoja wa 'Critics' wakubwa wa Hayati Rais Dkt. Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati huo Paul Makonda ila bado alifeli.

Ni rahisi mno Kuiga ID yangu ila Kuiga Madini yangu ( Akili yangu ) Kubwa, Ubunifu wangu, Uwasilishaji wangu wa Kipekee wa Masuala na Hoja hapa JamiiForums ni Ngumu sana na GENTAMYCINE nitabaki kuwa Mmoja tu japo pia nafurahi Watu Kuniiga kwani nina Tunu ( Shani ) ya Kipekee niliyopewa nae Mola ( Maulana ) wengine hawana hivyo wanaipenda.

Hilo neno la Rapa hapo katika hiyo ID ameliweka baada ya Mimi siku moja kusema kuwa ninampenda sana Mghani ( Rapper ) Wakongo wanawaita 'Atalaku' wa Bendi yangu Kipenzi ya Wenge BCBG yake JB Mpiana aitwae GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ( Jina lake halisi ni Pitshou Lisimo ) ndipo nae haraka haraka akaianzisha hiyo ID na kutanguliza hilo neno la Rapa.

Wataniiga ila hawatanipatia. Nimebarikiwa!
 
Hicho kipindi anacho jidai kujiulizia kuwa alipotea ndo kipind alifungua hii I'd ya aug 3 na akawa anaitumiatumia ili siku akija kujiulizia isionekane ni I'd mpya kwahiyo ya zamani ndo hiyo aliyo sema anafurahi kuiona imerudi
Kuna faida yoyote memba anapata kwa kufanya hivi?

...
 
Haya Mtumaini Mungu Kazi imeshaanza.
Huyo mtumaini mungu sio wewe, kwanza huyo hayupo kabisa kwenye angle ya mpira, yeye ni mtu wa dini hana interest na siasa kama wewe, kwa kweli kwa hili naungana na wewe hapa unasingiziwa tu.

Ila kunaye yule marieta, anapenda mpira, anaipenda simba kama wewe, anapenda kujitaja taja Id yake kila anapoandika kama wewe, anaipenda ccm kama wewe, hata akiambiwa kua yeye ni wewe mara nyingi amekua aki respond kama wewe.
 
Haya Mtumaini Mungu Kazi imeshaanza.
 
Nakukubali sana
 
Ungezugazuga kidogo yani on time una login kivingne fasta na kujijibu
 
Yani unajitia dole mwenyewe alafu unageuka nyuma unashtuka
 
🤣🤣
 
Nimecheka kinoma🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni summarizes kwa kusema We jamaa unapenda sifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…