mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Huu ujinga aliuanza Haji Manara,badala ya Simba na yanga kuwa watani wa jadi wakawa na chuki ya jadi.
Hawa watoto nao badala ya kuja kivingine wakawa wanapita mule mule alipopita Haji.
Sasa nasikia Alli kamwe Azam nao wanataka bilioni 10 kwa kauli yake kuwa Dube kila akikaribia goli wanazima taa,hii ni kuchafua brand ya uwanja.
Kwa upande wangu vyeo vyao vifutwe au majukumu(responsibilities) yao yabadilishwe
Mbona huko kwa wenzetu
makocha ndio wasemaji.
Waache ujinga