πππHii yetu sio soccer ni marede
Naunga mkono hoja,wasemaji wamekuwa kama waimba taarabu mipasho mwanzo mwisho. Wawekewe mipaka ya kuongea mipasho wawaachie washabiki kwenye vijiwe vya kahawa. Na pia hata vyombo vya habari hasa hizi Online TV zipigwe marufuku kurusha mahojiano ya watu ambao siyo wasemaji rasmi wa vilabu, sasa imekuwa ni fujo kila mtu akishiba kande zake anataka kupumua habari za Simba na Yanga tumewachoka.Huu ujinga aliuanza Haji Manara,badala ya Simba na yanga kuwa watani wa jadi wakawa na chuki ya jadi.
Hawa watoto nao badala ya kuja kivingine wakawa wanapita mule mule alipopita Haji.
Sasa nasikia Alli kamwe Azam nao wanataka bilioni 10 kwa kauli yake kuwa Dube kila akikaribia goli wanazima taa,hii ni kuchafua brand ya uwanja.
Kwa upande wangu vyeo vyao vifutwe au majukumu(responsibilities) yao yabadilishwe
Mbona huko kwa wenzetu
makocha ndio wasemaji.
Waache ujinga
Wabongo tunapenda sana ujinga ujinga, yaani mechi imeisha ila watu wanasubiri msemaji atasema nini...Hakuna huu ujinga na hata kana hicho cheo kipo ni kama ilivyo afisa habari wa mitandao ya simu au benki,umewahi kusikia afisa habari wa Vodacom au NMB anaropoka ropoka
Jumlisha 10 bilion ya Azam..Kwani ukinilipsha 3b namimi nikakulipisha 10b, nani anapaswa kua amemulipa mwenzie πππ
Hii move ya jupelekana mahakamani ndio nzuri,mtu alipe hata mioni 100 tu akili ziwakae sawaWakati wa majira ya joto,kipindi league imeisha kulitungwa sheria kuwa wataadhibiwa wasemaji wa vilabu wachekeshaji, je hy adhabu ipo au imefutwa?
Wee Mtoto natamani tukutane live au wewe unasemaje π€£π€£π€£Jumlisha 10 bilion ya Azam..
Na simba bado hatujamshtaki huyo komwe...hapo ni sandaland tuu
Kivyenu kivipi, Mbona wachezaji hawachezi na mikono??Soka letu kivyetu vyetu sio lazma kila kitu tuige kwa wazungu