Nimefurahi sana Kuachwa kwa Msaliti na Mnafiki Kipa Aishi Manula

Manula shati
Na Duka mno. Utakuwaje kipa wa Simba SC halafu 90% ya Marafiki zako ni Watu wa Yanga SC na Timu ikiwa haina Mechi unashinda na Watu wa Yanga SC hadi Kuzunguka nao Mitaani huku Watu wako na Wachezaji wenzako wa Simba SC ukiwatenga.

Haya Wakala wake Jemedari Said akamtafutie Timu sasa / ampeleke Yanga SC ambako alikuwa akitumika nao mno.
 
Hatamwamini hata kidogo. Bado mkongo ni Bora kuanza na moja kuliko wasaliti.
 
Jemedari Saidi anapoteza muda japo najua hapa anatetea zaidi Ugali wake. Ubaya Ubwela ndiyo umeanza na Manula.
 
Jemedari Saidi anapoteza muda japo najua hapa anatetea zaidi Ugali wake. Ubaya Ubwela ndiyo umeanza na Manula.
Kwa hiyo mnamkomoa.....?,kama hamumtaki simuache aondoke au ndio mnamkomoa.

Manake mnamwita duka,mwacheni aondoke au ndio mnataka abaki afungue duka la jumla kabisa,mumlaumu vizuri.
 
Kwa hiyo mnamkomoa.....?,kama hamumtaki simuache aondoke au ndio mnamkomoa.

Manake mnamwita duka,mwacheni aondoke au ndio mnataka abaki afungue duka la jumla kabisa,mumlaumu vizuri.
Na hajaishia tu Kukomolewa hivyo Mkuu bali hata Kurogwa pia Amesharogwa sana tu mbona atakoma!! Ubaya Ubwela.
 
Katika zile goli Tano,alifungisha lipi!?
 
Kwa hiyo mnamkomoa.....?,kama hamumtaki simuache aondoke au ndio mnamkomoa.

Manake mnamwita duka,mwacheni aondoke au ndio mnataka abaki afungue duka la jumla kabisa,mumlaumu vizuri.
Simple logic!!!Hajatajwa,Hajaenda Hajaenda preseason na hajahusishwa na kitu chochote cha Simba SC unahitaji Degree kuelewa Jambo hili,
 
Acheni mambo ya kikuma, hivi udogo au ukubwa wa mtu hua mnaujuaje humu? Acheni zarau za kikuma.
Mkuu umempa Sindano ya maana mno huyo Boya na utashangaa bila Aibu atakuja Kukujibu wakati umeshampa Dozi.
Nyinyi wote mna tabia za kike. Acheni tabia ya umbea na kuchafua watu. Mkiambiwa mlete ushahidi, mnakimbilia kutukuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…