GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tena Uongozi wa Simba SC tulichelewa sana tu Kumuacha huyu Kipa Duka kwani alitumiiza pakubwa mno. Asanteni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Duka mno. Utakuwaje kipa wa Simba SC halafu 90% ya Marafiki zako ni Watu wa Yanga SC na Timu ikiwa haina Mechi unashinda na Watu wa Yanga SC hadi Kuzunguka nao Mitaani huku Watu wako na Wachezaji wenzako wa Simba SC ukiwatenga.Manula shati
Hatamwamini hata kidogo. Bado mkongo ni Bora kuanza na moja kuliko wasaliti.Na Duka mno. Utakuwaje kipa wa Simba SC halafu 90% ya Marafiki zako ni Watu wa Yanga SC na Timu ikiwa haina Mechi unashinda na Watu wa Yanga SC hadi Kuzunguka nao Mitaani huku Watu wako na Wachezaji wenzako wa Simba SC ukiwatenga.
Haya Wakala wake Jemedari Said akamtafutie Timu sasa / ampeleke Yanga SC ambako alikuwa akitumika nao mno.
Acha kuchafua watu mdogo wangu popoma. Ukiambiwa ulete ushahidi unaishia tu kung'ata kucha kama kabinti ka miaka 13!Tena Uongozi wa Simba SC tulichelewa sana tu Kumuacha huyu Kipa Duka kwani alitumiiza pakubwa mno. Asanteni.
Kaa mbali nami na sina Mpinzani wa kujua yale YALIYOJIFICHA iwe katika Michezo au Siasa za nchini Tanzania. Nimemaliza.Acha kuchafua watu mdogo wangu popoma. Ukiambiwa ulete ushahidi unaishia tu kung'ata kucha kama kabinti ka miaka 13!
Unachokifanya siyo kitu sahihi. Unaleta maneno yasiyo na ushahidi kwa lengo tu la kuchafua watu.Kaa mbali nami na sina Mpinzani wa kujua yale YALIYOJIFICHA iwe katika Michezo au Siasa za nchini Tanzania. Nimemaliza.
Kwa mujibu wa meneja wake,Manula bado hajaachwa bali kaondolewa kwenye kikosi cha msimu 23/24,huku mkimkatalia kwenda kwenye timu inayo mtaka kwa Mkopo (Azam).
View: https://www.instagram.com/p/C-Nx1Haqr4e/?igsh=YXY5OWQ5Z2ZpNHNv
Kwa mujibu wa meneja wake anaona mchezaji wake anakomolewa.Maana kwenye kikosi hamjamjumuisha ila hapo hapo bado hamtaki aondoke.
Kwa hiyo mnamkomoa.....?,kama hamumtaki simuache aondoke au ndio mnamkomoa.Jemedari Saidi anapoteza muda japo najua hapa anatetea zaidi Ugali wake. Ubaya Ubwela ndiyo umeanza na Manula.
Na hajaishia tu Kukomolewa hivyo Mkuu bali hata Kurogwa pia Amesharogwa sana tu mbona atakoma!! Ubaya Ubwela.Kwa hiyo mnamkomoa.....?,kama hamumtaki simuache aondoke au ndio mnamkomoa.
Manake mnamwita duka,mwacheni aondoke au ndio mnataka abaki afungue duka la jumla kabisa,mumlaumu vizuri.
Katika zile goli Tano,alifungisha lipi!?Na Duka mno. Utakuwaje kipa wa Simba SC halafu 90% ya Marafiki zako ni Watu wa Yanga SC na Timu ikiwa haina Mechi unashinda na Watu wa Yanga SC hadi Kuzunguka nao Mitaani huku Watu wako na Wachezaji wenzako wa Simba SC ukiwatenga.
Haya Wakala wake Jemedari Said akamtafutie Timu sasa / ampeleke Yanga SC ambako alikuwa akitumika nao mno.
Yote.Katika zile goli Tano,alifungisha lipi!?
oh kumbe ni msaliti?Tena Uongozi wa Simba SC tulichelewa sana tu Kumuacha huyu Kipa Duka kwani alitumiiza pakubwa mno. Asanteni.
Simple logic!!!Hajatajwa,Hajaenda Hajaenda preseason na hajahusishwa na kitu chochote cha Simba SC unahitaji Degree kuelewa Jambo hili,Kwa hiyo mnamkomoa.....?,kama hamumtaki simuache aondoke au ndio mnamkomoa.
Manake mnamwita duka,mwacheni aondoke au ndio mnataka abaki afungue duka la jumla kabisa,mumlaumu vizuri.
Watanzania wengi ni wachawi furaha Yao ni kukuona unaanguka.Kwa hiyo mnamkomoa.....?,kama hamumtaki simuache aondoke au ndio mnamkomoa.
Manake mnamwita duka,mwacheni aondoke au ndio mnataka abaki afungue duka la jumla kabisa,mumlaumu vizuri.
Acheni mambo ya kikuma, hivi udogo au ukubwa wa mtu hua mnaujuaje humu? Acheni zarau za kikuma.
Nyinyi wote mna tabia za kike. Acheni tabia ya umbea na kuchafua watu. Mkiambiwa mlete ushahidi, mnakimbilia kutukuna.Mkuu umempa Sindano ya maana mno huyo Boya na utashangaa bila Aibu atakuja Kukujibu wakati umeshampa Dozi.