Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni biashara zaidiKweli mkuu. Hizi Medium peleka mtoto ukiwa na mpunga wa kueleweka. Kuna zile medium watoto wanajazwa kwenye Noah kama vile mifugo zinaboa kinyama. Pia medium nyingi zina maeneo madogo ya kuchezea watoto.
Kwamba Mimi ndîo sijui kingereza, au nimesoma Kayumba au ndiye niliyeandika Huko Jukwaa la Ajira?Huyo utakuwa ni wewe, acha kusingizia watu wengine
Uwoga wake tu mbona hata walio soma ENGLISH Mediums hawajui English
Hivi kwani kujua kingereza ndo kusoma mbona mi najua alafu wala hayo madarasa sijui yakoje tena ikiwezekana nawapita hao wa inteneshino wenu wengi tu kuna mwenzenu ana mteja wake yuko Us,kila akitaka kuwasiliana nae ananitafuta niongee nae sasa naomba muondoe dhana kwamba rugha ni kusoma kama hamtaki endeleeni kuinjoi ujinga.Kwamba Mimi ndîo sijui kingereza, au nimesoma Kayumba au ndiye niliyeandika Huko Jukwaa la Ajira?
Hivi kwani kujua kingereza ndo kusoma mbona mi najua alafu wala hayo madarasa sijui yakoje tena ikiwezekana nawapita hao wa inteneshino wenu wengi tu kuna mwenzenu ana mteja wake yuko Us,kila akitaka kuwasiliana nae ananitafuta niongee nae sasa naomba muondoe dhana kwamba rugha ni kusoma kama hamtaki endeleeni kuinjoi ujinga.
Wewe,yeye na wasomi wengi wanakariri kama wewe unajua basi una kitu cha ziada kichwabi hapo.Sasa alimalizaje degree kama hajui kingereza Wakati kozi zilikuwa Kwa kingereza?
100% FactHivi kwani kujua kingereza ndo kusoma mbona mi najua alafu wala hayo madarasa sijui yakoje tena ikiwezekana nawapita hao wa inteneshino wenu wengi tu kuna mwenzenu ana mteja wake yuko Us,kila akitaka kuwasiliana nae ananitafuta niongee nae sasa naomba muondoe dhana kwamba rugha ni kusoma kama hamtaki endeleeni kuinjoi ujinga.
Elimu haipaswi kuwa biashara. Elimu inapaswa kuwa hudumaMungu awasaidie wasiishie kuwa polisi.
Miongoni mwao tupate matajiri, Wanasiasa, madaktari, ma Injinia, na wengineo wa maana.
Wewe una ugomvi na private schools, badala ungekuwa na ugomvi na serikali ungeisisitiza serikali iboreshe mazingira ya hizo primary schools na input yake ili tupate output bora.
Bora huyu kuliko wewe unayeshauri watumishi wa umma wanyimwe mishahara yao kwa sababu ya kujiendeleza kimasomo.Umaskini ni laana.
Oneni kama huyu jinsi alivyo na mawazo ya kijinga.
Darasa ama gharasaLeo nimeenda kijijini kwetu " Ilala Rural" nikapata nafasi ya kuhudhuria Grafuation ya darasa la saba Shule ya Kayumba.
Darasa lina mikondo 7 kila mkondo una wanafunzi 70 jumla wanafunzi 490. Kulikuwa na vibe la hatari.
I liked what I see. I liked the energy which was at the school environment.
Wazazi kama wote. Waageni waalikwa kama wote. Nimepata na kamchuchu kalikuwa miongoni mwa wageni waalikwa. Ka mwaka 2006 kanasoma Chuo cha kati. Nimekapenda kwa sababu kana toka jasho kwenye pua. Wasichana wanao toka jasho puani wanakuwaga na mapenzi ya ukweli halafu huwaga Nina nyota nao, so I thank the universe na Mimi nitaenda " KUKAONJAMO"
Anyway kulikuwa na a very positive energy kwenye hiyo shule. Yani mwalimu mkuu akisema" La Saba Oyee" Hizo sauti zinazo itikia kwa bashasha na kwa wingi yani hadi raha. I want my children to be around this kind of energy. This life is all about energy. The currency in the realm of the spirits is " energy ". The positive the energy the higher the value..
Graduation za shule EMs sasa . Msiba una nafuu.
Darasa lina wanafunzi 16, hiyo vibe itatoka wapi.
Haya haraka sana, toa watoto wako EMs haraka sana warudishe Kayumba . Sasa hivi!!!!
Shule ya msingi kila mtoto hufaulu siku hiziMatokeo yakitoka yalete ili watu waamue ulazima wa vibes...