Nimefurahi sana kuhudhuria Graduation ya darasa la saba Kayumba

Kweli mkuu. Hizi Medium peleka mtoto ukiwa na mpunga wa kueleweka. Kuna zile medium watoto wanajazwa kwenye Noah kama vile mifugo zinaboa kinyama. Pia medium nyingi zina maeneo madogo ya kuchezea watoto.
100% Fact
 
Mungu awasaidie wasiishie kuwa polisi.

Miongoni mwao tupate matajiri, Wanasiasa, madaktari, ma Injinia, na wengineo wa maana.

Wewe una ugomvi na private schools, badala ungekuwa na ugomvi na serikali ungeisisitiza serikali iboreshe mazingira ya hizo primary schools na input yake ili tupate output bora.
 
Kwamba Mimi ndîo sijui kingereza, au nimesoma Kayumba au ndiye niliyeandika Huko Jukwaa la Ajira?
Hivi kwani kujua kingereza ndo kusoma mbona mi najua alafu wala hayo madarasa sijui yakoje tena ikiwezekana nawapita hao wa inteneshino wenu wengi tu kuna mwenzenu ana mteja wake yuko Us,kila akitaka kuwasiliana nae ananitafuta niongee nae sasa naomba muondoe dhana kwamba rugha ni kusoma kama hamtaki endeleeni kuinjoi ujinga.
 

Sasa alimalizaje degree kama hajui kingereza Wakati kozi zilikuwa Kwa kingereza?
 
100% Fact
 
Elimu haipaswi kuwa biashara. Elimu inapaswa kuwa huduma
 
Umaskini ni laana.
Oneni kama huyu jinsi alivyo na mawazo ya kijinga.
Bora huyu kuliko wewe unayeshauri watumishi wa umma wanyimwe mishahara yao kwa sababu ya kujiendeleza kimasomo.

Hiyo ndo tabia halisi ya masikini kuanzia mfukoni hadi kichwani. Ni kama wale wa kuitwa wanyonge waliokuwa wakishangilia kuona watu wametumbuliwa tu.
 
Darasa ama gharasa
490
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…