GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ndo nimejua leo me najua 92 tuuKwahiyo hujui kuwa hata hapo Mapinga Kiharaka Bagamoyo pia kuna Chuo chao?
Basi utakuwa uko outdated kwa Taarifa.Ndo nimejua leo me najua 92 tuu
oscar one!!Hakika kwa nilivyowaona wakiwa Vifua wazi wamejengeka Kimwili Wamekomaa na wana Morali ya hali ya Juu ya Kimedani hakika si Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na hata Israel, Marekani, Cuba na Uingereza ambao watatuweza Tanzania kama wakituchokoza.
Hongereni sana JWTZ kwa Uimara!!!!
Nyau atabaki nyau hata ilimpeleka porini hawezi kuwa simbaKwaresma na mwezi mtufukufu vyote vimekutana ila Genta na tukanauone ni wale wale shida ni wakuu
Ni jambo jema sana hongera kwao. Ila pia wajiongeze sana kwenye angle za digital.Hakika kwa nilivyowaona wakiwa Vifua wazi wamejengeka Kimwili Wamekomaa na wana Morali ya hali ya Juu ya Kimedani hakika si Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na hata Israel, Marekani, Cuba na Uingereza ambao watatuweza Tanzania kama wakituchokoza.
Hongereni sana JWTZ kwa Uimara!!!!
Haahaahaa mkuu vita vya kisasa watu wanarusha drones, hivyo vifua hata gorrilas wanavyo π π π π π π π πHakika kwa nilivyowaona wakiwa Vifua wazi wamejengeka Kimwili Wamekomaa na wana Morali ya hali ya Juu ya Kimedani hakika si Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na hata Israel, Marekani, Cuba na Uingereza ambao watatuweza Tanzania kama wakituchokoza.
Hongereni sana JWTZ kwa Uimara!!!!