Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Kwa hao kukosa uwaziri maisha yako yataboreka?
Wivu wa kimaskini!Keshalielezea hili, kuuliza tena ni umbea!
Acha upoyoyo nimesema hata hao waliopata hawanisaidii chochote, seuze hao waliokosa!Kwa hao kukosa uwaziri maisha yako yataboreka?
Kwa hao kukosa uwaziri maisha yako yataboreka?
Furaha ya kimaskini hiyo!Acha upoyoyo nimesema hata hao waliopata hawanisaidii chochote, seuze hao waliokosa!
Nimefurahi tu...
Kwani kufurahi pia Ni kosa nchi hii
Pamoja na kwamba hata hao waliopata hawawezi kunisaidia chochote hence kila kitu kinaamriwa kutoka huko "juu"
Na kuwa wapo tu kutimiza takwa la kikatiba, ila sote tulishuhudia nchi ilikwenda tu fresh Bila wao...
Unajisikia afadhali kwa jambo la kijinga kabisa. Ila unawakilisha watanzania wengi. I mean watanzania wengi wana hulka kama yako na ndiyo maana wanasiasa wanaendelea kutuchezea.Pamoja na kwamba hata hao waliopata hawawezi kunisaidia chochote hence kila kitu kinaamriwa kutoka huko "juu"
Na kuwa wapo tu kutimiza takwa la kikatiba, ila sote tulishuhudia nchi ilikwenda tu fresh Bila wao...
Ndio Mkuu sio kosa kufurahia..Hata mi nimefurahi sana
Kazi gani nziri mzee baba uwaziri ndio kazi nzuri sasa kazi gani nzuri tena kwa magu ndio imetoka hiyo nafasi za ubunge kabakiza nafasi tatu kwa wanaume akikosa na hizo asubiri tena ukuu wa mkoaMakonda atapatakazi nzuri tu huyo sio mwenzako
Siyo ya kimaskini bali ni ya kijinga sana. Badala watu wa-deal na ufashisti unaofanywa na Magufuli and co wao wanajiliwaza na mambo yasiyoongeza chochote kwenye maisha yao.Furaha ya kimaskini hiyo!