Nimefurahi sana kwa Askofu Gwajima, Gambo, Kigwangalla na Makonda kukosa Uwaziri

Nimefurahi sana kwa Askofu Gwajima, Gambo, Kigwangalla na Makonda kukosa Uwaziri

Mkuu Muombe Mungu akusamehe dhambi ya Chuki,

Ni mbaya Sana kumchukia mtu ambaye hata humfahamu.
 
Pamoja na kwamba hata hao waliopata hawawezi kunisaidia chochote hence kila kitu kinaamriwa kutoka huko "juu"
Na kuwa wapo tu kutimiza takwa la kikatiba, ila sote tulishuhudia nchi ilikwenda tu fresh Bila wao....
Hao 1 & 4 lazima watapewa uwaziri kabla ya June 2021.

Pin post hii.
 
Mpaka leo bado nashangaa hao watajwa wamewezaje kuwa viongozi wa umma. kwa uwezo upo. mbona weupe sana vichwani
 
Pamoja na kwamba hata hao waliopata hawawezi kunisaidia chochote hence kila kitu kinaamriwa kutoka huko "juu"
Na kuwa wapo tu kutimiza takwa la kikatiba, ila sote tulishuhudia nchi ilikwenda tu fresh Bila wao....
Ha haa! Santa kalawe imekwisha.. Mwenye kupata kapata, mwenye kukosa kakosa.

Kifuatacho ITV ni waliokosa kubeba fito zao wakaangalie ustaarabu mwingine until further notice.

So far, kifo cha wengi harusi... Tukutane tena 2025!
 
Pamoja na kwamba hata hao waliopata hawawezi kunisaidia chochote hence kila kitu kinaamriwa kutoka huko "juu"
Na kuwa wapo tu kutimiza takwa la kikatiba, ila sote tulishuhudia nchi ilikwenda tu fresh Bila wao...
Wewe CCM?

Waliopata ni ndugu zako?

Baada ya hao kukosa umeongeza kipato kwa kiasi gani? Au ndio uchawi tu na roho ya gubu?
 
Umewasahau Makamba na Nape, bado wanaomboleza.
Pamoja na kwamba hata hao waliopata hawawezi kunisaidia chochote hence kila kitu kinaamriwa kutoka huko "juu"
Na kuwa wapo tu kutimiza takwa la kikatiba, ila sote tulishuhudia nchi ilikwenda tu fresh Bila wao....
 
Kuna watu wapuuzi humu eti wametuzidi kila kitu. Wale ni waajiriwa yaani wanataka wapate pesa kwa kulipwa mshahara mzuri na kula bata wakipata zile nafasi. Kuonekana kwenye Tv na kupanda gari za serikali na kupigiwa saluti wewe ndio umeona ndio maisha.

Kipengele cha viongozi kutaja mali zao CCM naona kina washinda wengi wana mali kupita kwa mbali sana mishahara yao. Wanapata wapi fedha wao wanajua.

Sisi tumejiajiri na tumeajiri wengine .hata aje rais gani sisi tunasoma magazeti tu kufuatilia kinachoendelea.

Hao wakitumbuliwa tu inakuwa shidaaaa
Waje mitaani fursa mbona nyingi tu.
 
Back
Top Bottom