Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
- Thread starter
- #21
Itoshe kusema kwasasa nimefurahi hawajateuliwa..Unajisikia afadhali kwa jambo la kijinga kabisa. Ila unawakilisha watanzania wengi. I mean watanzania wengi wana hulka kama yako na ndiyo maana wanasiasa wanaendelea kutuchezea. Wengi wameshasau uchaguzi ulivyokuwa wa kihuni na wameshamia kwenye mambo ya uteuzi na kufurahia. BTW hao watu wanaweza kuja kuteiliwa muda wowote. Utafanya nini?
Mbona unauliza Mambo ambayo hayapo!?