Nimefurahi sana kwa Askofu Gwajima, Gambo, Kigwangalla na Makonda kukosa Uwaziri

Itoshe kusema kwasasa nimefurahi hawajateuliwa..
Mbona unauliza Mambo ambayo hayapo!?
 
Itoshe kusema kwasasa nimefurahi hawajateuliwa..
Mbona unauliza Mambo ambayo hayapo!?
Hao jamaa ni kweli hawafai kabisa kabisa kama kinyesi. Ni matapeli na laghai kabisa. Lakini jambo la kusikitisha ni kuwa hata huo ubunge wamepata kwa uhuni wa Magufuli na hawakutakiwa kabisa kuupata. Ndiyo maana sioni mantiki ya kufurahia.
 
Hata hawa waliipewa uwaziri leo 70% hawatamaliza miaka 5 wakiwa na uwazir wao. Magufuli anachofanya ni kuwauwa wenzake kisiasa. Akiona unachipuka kisiasa anajua unajiandaa kugombea uraisi 2025. Sasa ukiangalia vihererhere vyote kawakata kabakiza mwigulu mchemba na huyu asipokuwa makini anataftiwa scandal.
 
Pamoja na kwamba hata hao waliopata hawawezi kunisaidia chochote hence kila kitu kinaamriwa kutoka huko "juu"
Na kuwa wapo tu kutimiza takwa la kikatiba, ila sote tulishuhudia nchi ilikwenda tu fresh Bila wao....
Umeongea iliyo tabia ya watanzania wengi, hongera kwa kuwakilisha vema mkuu. Ila ni tabia ya kimasikini balaa, ukiweza jitahidi uiache coz itakufanya uzidi kuwa masikini.(hopefully you're not materially poor)
 
Kwanza hao wabunge wenyewe wamewekwa kama picha, ubunge wa mizengwe,hakuna anayewathamini, sawa na anayemiliki mali ya wizi
 
Umeongea iliyo tabia ya watanzania wengi, hongera kwa kuwakilisha vema mkuu. Ila ni tabia ya kimasikini balaa, ukiweza jitahidi uiache coz itakufanya uzidi kuwa masikini.(hopefully you're not materially poor)
Heri maskini wa roho!
 
Magu bado hata hajawaapisha,wewe subiri speech yake ya kuwaapisha humo watakaomaliza ni wachache akina Jafo wa Tamiseni, Kassim Majaliwa,Mpango,Bashe,Waziri wa Utalii, UmmyMwalimu,Lukuvi,Kalemani,Kabudi,Juma Uweso.
 
Pamoja na kwamba hata hao waliopata hawawezi kunisaidia chochote hence kila kitu kinaamriwa kutoka huko "juu"
Na kuwa wapo tu kutimiza takwa la kikatiba, ila sote tulishuhudia nchi ilikwenda tu fresh Bila wao....
Chuki ni mbaya sana mkuu,isitoshe wote unaoshindana nao wanakuzidi maisha kwa mbali
 
Na polepole bora amekosa ila imeniuma nchemba kupata uwaziri
 
Pamoja na kwamba hata hao waliopata hawawezi kunisaidia chochote hence kila kitu kinaamriwa kutoka huko "juu"
Na kuwa wapo tu kutimiza takwa la kikatiba, ila sote tulishuhudia nchi ilikwenda tu fresh Bila wao....
Hizo chuki zako tu binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…