Hao 1 & 4 lazima watapewa uwaziri kabla ya June 2021.Pamoja na kwamba hata hao waliopata hawawezi kunisaidia chochote hence kila kitu kinaamriwa kutoka huko "juu"
Na kuwa wapo tu kutimiza takwa la kikatiba, ila sote tulishuhudia nchi ilikwenda tu fresh Bila wao....
Ha haa! Santa kalawe imekwisha.. Mwenye kupata kapata, mwenye kukosa kakosa.Pamoja na kwamba hata hao waliopata hawawezi kunisaidia chochote hence kila kitu kinaamriwa kutoka huko "juu"
Na kuwa wapo tu kutimiza takwa la kikatiba, ila sote tulishuhudia nchi ilikwenda tu fresh Bila wao....
Wewe CCM?Pamoja na kwamba hata hao waliopata hawawezi kunisaidia chochote hence kila kitu kinaamriwa kutoka huko "juu"
Na kuwa wapo tu kutimiza takwa la kikatiba, ila sote tulishuhudia nchi ilikwenda tu fresh Bila wao...
Na hao wote wamemuacha mbali kimaisha yeye na ukoo wakeKwa hao kukosa uwaziri maisha yako yataboreka?
Hata mi nimefurahi labda aweke vyeti halali rc wetu wa zamani akae huko hukoWivu wa kimaskini!
Pamoja na kwamba hata hao waliopata hawawezi kunisaidia chochote hence kila kitu kinaamriwa kutoka huko "juu"
Na kuwa wapo tu kutimiza takwa la kikatiba, ila sote tulishuhudia nchi ilikwenda tu fresh Bila wao....