Nimefurahishwa na Kitendo cha Ntobi kuvuliwa Uongozi, lakini hayuko Peke yake, kama Sheria ni msumeno basi kuna Wanaofuatia

Nahisi Ntobi ni chambo tu ila anatafutwa Lissu au Heche. Siasa hainaga aibu.
 
Nakumbuka pia kuwa Ntobi aliwahi kuomba msamaha. Hii inaonekana ni watu kujipanga vizuri ili wasisahauliwe katika ufalme unaokuja.

Amandla...
 
Mbona wanatukana kila mahali, au huna macho?
Pole sana Mangi

Kwa kukusaidia Taasisi yoyote huwa unahitaji kuji brand kila baada ya muda ili ije na mwelekeo tofauti. Mara nyingi katika macho ya Watumiaji ( consumers) ni lazima uje na mkakati tofauti hata wa kimuonekano. Angalia Coca-cola, Pepsi, Safari Lager, Timu yako pendwa ya Simba wote hao wameshafanya branding ili kuvutia Watumiaji na wateja. CHADEMA ya 2025 sio CHADEMA ya 2015 au 2010. Ni lazima kujiuliza maswali magumu na kuangalia where did they go wrong. Wakiweza kutambua hilo basi ni lazima waje na mikakati kuwa win Washabiki na Wapenzi wapya. Huwezi kupambana na CCM Kwa mikakati Ile Ile ya tangu 1992 na watu wale wale waliofeli. Unless mnataka kutuambia CHADEMA nacho ni kikundi Cha maslahi ya wachache chenye malengo Maalumu lakini kama kweli ni Chama chenye malengo ya kuwapigania Watanzania basi lazima kubadili mikakati ikiwemo kubadili Viongozi.

Kijana anayetegemewa kupiga kura Mwaka huu 2025 Mwaka 2015 alikuwa mtoto mdogo wa miaka 8 tuu, Leo unamshawishije Kwa kuwa na Sera na Viongozi wanaoimba Yale Yale wanayoimba CCM? Why aje CHADEMA? Inampatia alternatives zipi kama Viongozi tuu hawana alternatives kazini mwao?
 
Ok, kumbe lengo ni kumfyeka Lissu.
 
Ila ni vyema tukafahamu yanayowahusu watuhumiwa kwani kipindi hiki ni rahisi kutumika vibaya kwa manufaa ya upande unaomuunga mkono mgombea fulani,ama adui kutumia upenyo huu kwa nguvu ya fedha ama ushawishi kufikia malengo yake.Hivyo ni muda wa kukaguana na kuchukuliana hatua kwa muda unaoleta afya ndani ya chama.
 
Hoja yako ni ipi?
 
Team Lisu wote wahuni, wangefukuzwa wakaanzishe umoja wa waliofukuzwa chadema.
 
Hapana,
Siyo Mnafiki!
Mimi sikutoa mada.
 
Team Lisu wanatuchosha na kelele za kitoto, Jan 21 mtapigia kelele huko mtakakopelekwa na Lisu.

Tutapumzika ni huu utoto utoto wenu.
Utoto mnao nyie maccm mnaohangaika na mambo ya Chadema. Pilipili usiyoila yakuwashiani?
 
Hivi mtu kama Ntobi aliweza vipi kuwa hata kiongozi? Yaani ni kiazi kiazi. Nonsense stuff!..sijawahi ona Msukuma mjinga kiasi cha Ntobi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…