Nimefurahishwa sana kwa jinsi msanii Said Said alivyo wakera watu

Nimefurahishwa sana kwa jinsi msanii Said Said alivyo wakera watu

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,753
Reaction score
18,781
Leo kila staa anamlaumu said said kias kwamba aliwakera kweli na kutama jana kukimbia ktk ukumbi wa masaki dom..

Ni hivi nilimsikia Said Said kwa kupita radio tbc taifa akichekesha na kuwafurahisha watu mimi sijaona kosa lolote alilo lifanya zaid San nimefurahi amewakera haswa machawa wa ccm na serekali wote kwa pmj

Ninyi kina doto, Bablevel. Nk.. mnatka kila siku mfurahi tu na kuchekacheka hvyo Leo Said amewakamata vzr sana hongera sna said najuwa wanapanga kukushusha ila mungu atakupiganiaa wee unajuwa kukera na kuchekesha pia uko vzr sana said

Mitano tena kwa Samia na namba ya mam nitakupa kama ukitak

Endelee kuwakera hadi wakome kutumia pesa sa serekali vibaya .
 
Back
Top Bottom