Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Nimefurahishwa sana na uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bawacha. Kwa kweli unaonyesha ukomavu wa Baraza hilo maana wagombea wote wanastahili hiyo nafasi.
Baada ya uchafuzi unaoendelea katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema hawa wakina mama wanaleta matumaini.
Amandla...
Baada ya uchafuzi unaoendelea katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema hawa wakina mama wanaleta matumaini.
Amandla...