Nimefurahishwa sana na Uchaguzi wa BAWACHA Taifa

Nimefurahishwa sana na Uchaguzi wa BAWACHA Taifa

Nimefurahishwa sana na uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bawacha. Kwa kweli unaonyesha ukomavu wa Baraza hilo maana wagombea wote wanastahili hiyo nafasi.

Baada ya uchafuzi unaoendelea katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema hawa wakina mama wanaleta matumaini.

Amandla...

Kwani kura 300 zimehesabiwa kwa siku ngapi?
 
Back
Top Bottom