Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani wanakuona huna uwezo wa kuwasimamia maana bado unaishi kwenuWakuu sijui ni upendo ama nini maana wazazi wananigeukia balaa.
Mfano ;
Mwanangu akikosea nikimuadhibu mzazi wangu anakua mkali mno ananishambulia mpaka naona aibu,
Nifanyaje maana watoto ni wangu ila wazazi wangu wamewamiliki.
Simama Kama mzazii...... Wazaz watakuharibia mtoto, wao umri ushaenda unavyo waadhibu wanaona km huruma, lkn km mzazii simama, mkanye, mjenge na mfundshe mwanao..... Fimbo muhimu kwa kipind hiki km ndo 6yrs-14yrs awee tembeza kirunguSaasa Role yangu kama mzazi ni ipi maana jamaa hawataki hata useme lolote.
Hama hapo kwao au unaish nao kwako?Wakuu sijui ni upendo ama nini maana wazazi wananigeukia balaa.
Mfano ;
Mwanangu akikosea nikimuadhibu mzazi wangu anakua mkali mno ananishambulia mpaka naona aibu,
Nifanyaje maana watoto ni wangu ila wazazi wangu wamewamiliki.
Unakaa kwa wazazi au umewaita wazazi uishi nao?Wakuu sijui ni upendo ama nini maana wazazi wananigeukia balaa.
Mfano ;
Mwanangu akikosea nikimuadhibu mzazi wangu anakua mkali mno ananishambulia mpaka naona aibu,
Nifanyaje maana watoto ni wangu ila wazazi wangu wamewamiliki.
Sasa kama amewachukuwa wazazi kukaa nao nyumbani kwake ahamie wapi?Unatupotezea muda na kutujazia server tu humu Jf. Ushauri ni mmoja tu, ondoka kakae kwako.
Yaani akijibu hilo dodoso kwa ufasaha tayari mimi nitampatia majibu ya maswali yake.Watu wanavyomwambia akapange aondoke hapo nyumbn mnaweza msiish pamoja Ila ukimchapa mtoto anakimbilia kwa wazazii..... Humu watu sjui wanalewaga asubuhi
Nii kawaida wazazi kukataa kuchapa watoto lkn watoto wapigwe kisawasawa kwa fimbo sio mateke Wala ngumi no.....
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Sawa kiongoziiiYaani akijibu hilo dodoso kwa ufasaha tayari mimi nitampatia majibu ya maswali yake.
Wwe na wanao wote mmewekwa kapu moja la watoto wa nyumbani, kwa hiyo mkuu unatakiwa utii sheria bila shuruti hapo nyumbani kwa wazazi wako,la sivyo ukitaka kua full control kwenye malezi ya wanao kua na mji wako wa wewe na wanao!!Mimi ndio baba yao.
Ila wazazi wangu hawataki niwaadhibu au hata kuwasema tu wanangu.
Jamani, dogo akikosea nikimsema bibi yake a awake utadhani nimeua??
Chunguza vizuri, isijekua madogo wametoa rushwa kwa Bibi yao ili maamuzi yako wwe dhidi yao yawe yanatenguliwa na Bibi mara kwa mara!!Huyu bibi nae kwakweli simuelewi.
Ukigusa tu anakua mkali mno.
Niko njia panda maana bi mkubwa hataki niwaseme wajukuu wake.