Bundakwetu
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 551
- 1,014
Ikumbukwe huyu mwalimu alinitaka yeye na kunishawishi na hatimae tumezama penzini, Sasa alikuta namsimulia jamaa yangu kuwa kuna mwanamke JF anajiita To yeye kuwa nampenda sana na nimepanga kwa kila namna nionane nae na nimwambie yaliyo moyoni.
Kumbe bila kujua Maongezi yale mchumba wangu aliyasikia, Na usiku nimeomba haki yangu madam ananiambia nenda kwa huyo To yeye akupe, kiukwel nimembembeleza ila bado kanuna sijui nitumie mbinu gani Madam anielewe.