Nimegombana na Madam (mchumba wangu) kisa To yeye wa JF

Nimegombana na Madam (mchumba wangu) kisa To yeye wa JF

Naomba niweke waz,mi nachat na yeyote humu kimapenz (kiutani tena Kwa uwaz)...am free coz Sina mtu wa kunibana humu.... please...naomba kama Kuna watu wapo seriously na watu wao na hawapendi...nijieni inbox nambien acha kuchat na mtu Fulani huyo ni mtu wangu...mbona simple tu nakoma.Jf si ya kujichukulia seriously sana Jamani....burudika then sepa.Kuwa huru whatever watu wanakuchukuliaje....tafuta furaha yako binafsi.....Mkuu Mwelekeze vizuri huyo bae wako please
ndo umwambie mwenzako sasa kama umemkubali, maana sio kwa staili hii ya kufikisha ujumbe 😂😂😂😂😂🙌
 
Sijui itakuwaje Yaan🤒
Hadi joto limepanda na pressure juu..Pole sana kwa hili😂😂😂 Single mother amdatisha memba wa JF hadi kufarakanisha mahusiano ya wawili hao...😂😂😂 nafikiria story yake kichwa tayari!
 
Mura mbona kama unaomba penzi kwa mkwala na vitisho?

Ungesema tu shida yako kuliko kwanza kutanguliza hiyo Chai,eti sijui umegombana na mchumba wako,
Kwa jinsi ulivyowakilisha tu hii thd yako,unaonekana hujiamini.
 
Naomba niweke waz,mi nachat na yeyote humu kimapenz (kiutani tena Kwa uwaz)...am free coz Sina mtu wa kunibana humu.... please...naomba kama Kuna watu wapo seriously na watu wao na hawapendi...nijieni inbox nambien acha kuchat na mtu Fulani huyo ni mtu wangu...mbona simple tu nakoma.Jf si ya kujichukulia seriously sana Jamani....burudika then sepa.Kuwa huru whatever watu wanakuchukuliaje....tafuta furaha yako binafsi.....Mkuu Mwelekeze vizuri huyo bae wako please
Jamaa ilitakiwa awe direct tu🤣
 
Ikumbukwe huyu mwalimu alinitaka yeye na kunishawishi na hatimae tumezama penzini, Sasa alikuta namsimulia jamaa yangu kuwa kuna mwanamke JF anajiita To yeye kuwa nampenda sana na nimepanga kwa kila namna nionane nae na nimwambie yaliyo moyoni, kumbe bila kujua Maongezi yale mchumba wangu aliyasikia, Na usiku nimeomba haki yangu madam ananiambia nenda kwa huyo To yeye akupe, kiukwel nimembembeleza ila bado kanuna sijui nitumie mbinu gani Madam anielewe.
acha kujitongozesha kwa wanawake wa jf
 
Back
Top Bottom