1. Una umri gani mkuu?Habar wana JF,
Nashukuru mungu wote ni wazima
Mtanisamehe mimi sio muandishi mzuri sana wakuu.
Nimetoka kugombana na wife mpaka nimebaki nashangaa na kuwaza kwa maneno alioyasema wife, nikwamba wife ni
Angekuwa mtumishi ingekuaje
1. Una umri gani mkuu?
2. Hii ni mimba ya kwanza?
3. Uliwahi kusikia habari za wajawazito?
4. Ulikuwa na haraka gani ya kupiga simu na
Uongee maneno mengi kiasi hicho?.
Makosa ni ya kwako umebwabwaja sana kwa mjamzito.
Uliposwa uwe na subra, ufike home mnaongea kirafiki huku ukipapasa kitumbo chake taratiiibu.