Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa lako lilianzia hapa.Nikampigia sim kumjulia hali kashindaje leo then nikamuuliza unafanya nini akajibu yupo kitandani amelala.
mkuu umemlinganisha na wanawake wengine wanaopiga kazi wakiwa na mimba zao na matumbo yao makubwa, Wala usibishe!How mkuu maana mimi sijamlinganisha na mtu nimeongeanae tu kwa wema
Shukuru hata simu yako anapokea. Kuna mimba zingine hazitaki hata kukuona nyumbani, zingine unaamshwa usiku umchotee maji ya kunywa halafu hayanywi, na kuna zingine upendo unaongezeka zaidi yaani hawezi kukuacha ukae mbali nae hata kazini kwako mtaenda tu! [emoji16]
Lakini usijali, hapo anahitaji care kutoka kwako. Huna budi kumvumilia. Mtreat tu vizuri.
ume overeact mkuu , Just relax kunywa hata maji kama hutumii kilevi rudi nyumbani kwako mkuu usishindane na mwanamke mjamzito mambo ya kawaida hayo
HONGERA SOON UNAITWA BABA
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kwa asilimia 300Mimba za miaka hii wanafanya ndiyo silaha kama yale mabomu ya Urusi.
Vumilia mimba zina mbadili mwanamke tabia nikipindi cha mpito tu vumilia unaenda kuwa baba tumia hekima zaidi kuliko nguvuHow mkuu