Nimegomea pendekezo la tiba toka kwa daktari

DR Mambo Jambo toa suluhisho la utaalamu hapa.
 
Watanzania wengi wanapata matatizo ya misdiagnosis/ kubambikiwa magonjwa kwa makosa kwa kukosa uthubutu wa kutafuta "second opinion".

Yani daktari anafanywa kuwa kama hawezi kukosea, anajua kila kitu.

Katika nchi yenye uwianonwa dakyari mmoja kuhudumia watu zaidi ya 20,000 last time I checked, madaktari wanaonekana kama miungu watu.

Kuna masuala ya elimu, utamaduni na uchumi hapo.

Mara nyingine ni muhimu kupata second opinion.

Kwa kesi hii si misdiagnosis, lakini ni tiba ambayo mzazi hayuko comfortable nayo, na hakupewa alternative.

Watu wengi zaidi wanatakiwa kuwa na uthibutu wa kuhoji madaktari ili kupata huduma bora zaidi wanazostahili na kupenda.
 
Uko sahihi mkuu. Ahsante na ulichokisema ni ukwel mtupu.

Ukitaka ugomvi kiasi kwamba usihudumiwe vizuri hapa bongo, basi jaribu kumhoji dokta/nurse au onyesha huridhiki na huduma yake, utakiona.
 
Nonsence kabisa, yaan daktari ana mprescribe mtoto unajifanya mjuaji, si ungebaki naye nyumbani umtibu mwenyewe
 
Uko sahihi mkuu. Ahsante na ulichokisema ni ukwel mtupu.

Ukitaka ugomvi kias kwamba usihudjmiwe vizur hapa bongo, basi jaribu kumhoji dokta/nurse au onyesha huridhik na judima yake, utakiona.
Second opinion ni haki ya msingi ya mgonjwa na familia yake. Daktari makini hataona shida kwenye second opinion. Kwa sababu, kwanza atajiamini, lakini pia, hata kama kakosea, kitu cha muhimu kabisa ni afya ya mgonjwa, si utukufu wa daktari.

Huko kwetu bado tunalimbuka.
 
Nonsence kabisa, yaan daktari ana mprescribe mtoto unajifanya mjuaji, si ungebaki naye nyumbani umtibu mwenyewe
Kwa mwanangu ni sawa tu kuwa mjuaji. And by the wayg sitibiwi bure natumia pesa. Pia mimi sio kayumba nina reasoning yangu nzuri. Pia nina amin katika alternatives. Mimi sio mshirikina wa kila kitu TAWIREEEE. umenisoma kijana? Zaa wa kwako ukamsikilize dokta kwa kila kitu
 
Miaka kama 25 iliyopita niliugua malaria kali nikalazwa . Dokta alikuja wodini siku moja na kidonge kukubwa kama kidole. Alinipa kidonge kile na kuniambia nikiingize kwenye njia ya chooni nami pasipo kusita nilikusukumiza na mambo yalikuwa safi.

Usiogope mkuu ujinga una gharama kubwa sana!
 
Mwanang wa kwanza wa kiume
 
Una ruhusiwa kuchagua Matibabu unayo taka . Daktari anaweza Shauri tu . Na Akiforce unaweza mpeleka Mahakamani na kumfanga .
Kibongo bongo hii naona bado sana. Kama mtu anachiwa mkasi tumboni baada ya operation na bado hashtakiw wala kufukuzwa kazi ndio masikin ataweza kumuwajibisha kisheria kweli?

Skendo kunwa ya aibu ile ya muhimbil ya operation ya kichwa kufanywa mguuni na ya mguun kwenda kichwan bado ikaisha kirahisiiiii
 
Oya hayo ndo maamuzi ya kiume ni kweli hizo dawa zipo lakini ila mtoto wakiume akianza kushikwashikwa hizo sehem ataona ni kitu cha kawaida dawa ni kukataa kabisa hakuna kitakachomuua apige hata paracetamol ndo uanaume huo.
 
The difference here, mimi sio mjinga, mimi i have been just curious..
 
Sikuwahi kuliwazia hili ila inafikirisha hasa kwa madaktari kupenda ku recommend hii dawa kama vile hakuna mmbadala mwingine.

Ukute ni moja ya maagizo ya watu LQGBT kutaka kila mtu awe mdau wao.

Sitokubali tena mwanangu achomekwe hii dawa makalioni
Maskini weee!!!... Kumbe ulishakubali akawekewa dawa mkuu. Ndni!? ...

Kwisha habari yake!!! Huyo mtoto Ashakuwa punga tu!....

Hizi na dawa za misaada zinazokuja na masharti ya LGBTQ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…