Barbiedoll
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 772
- 2,150
Dokta akamwambia "KWA JOTO HILO, ALIPASWA KUWEKEWA KIDONGE KATIKA NJIA YA HAJA KUBWA.
Mkuu hao sijawahi kutana nao kabisa ila nadhani hizi dini ni changamoto sana kupingana na science .Mkuu,
Ushawahi kukutana na wale Jehovah Witnesses ambao hawataki kuwekewa damu, hata wakiona wanakufa, wanaona ni bora wafe kuliko kuwekewa damu?
Basi na wabongo wengine nao wapo kama hao Jehovah Witnesses kwenye suala hili.
Ukiwaambia habari za puru ni kama unawapa dawa inayoingilia imani yao, kama kuna alternate bora wapewe hiyo tu kuepusha matatizo ya kimaadili ya matabibu kulazimisha dawa kinyume na matakwa ya kiimani ya wagonjwa.
Sasa siku wakiumwa bawasiri na kuambiwa wapake dawa kwenye puru au wabaki na bawasiri sijui itakuwa vipi hapo?
Mjinga kweli wewe. Kama joto liko juu sana mbona ndio njia rahc zaid ya kushusha joto.Ni mwanangu wa kiume, wa 3 kuzaliwa and he is 5 years now.
Kuepusha maneno mengi ni kwamba muda huu yuko hospitali, na mama yake na baada ya diagnosis ikaonekana ana mchafuko wa damu na homa iko juu ana joto flan .
Baada ya kupata majib maabara na kumuona dokta akauliza
"AMESHAPEWA DAWA?".
Wife akasema HAPANA, DAWA GANI?
Dokta akamwambia "KWA JOTO HILO, ALIPASWA KUWEKEWA KIDONGE KATIKA NJIA YA HAJA KUBWA.
Bas wakiwa kwenye mazumgumzo nikapiga simu (mimi ni type ile ya watu kero wasumbufu hasa napo hisi ishu ni kubwa na mimi ndio nilipaswa kuwepo sasa ndio hivyo tena sipo, sasa huwa napiga sana simu kutaka kujua everything going on)
Wife akapokea akanipa hayo maelezo na ndio alikua anaelekea kutimiza huo utaratibu.
Nikauliza "KUSHUSHA HOMA NDIO LAZIMA KIDONGE KIWEKWE huko?"
akasema "NDIO NIMEAMBIWA HIVYO".
Nikasema "MWAMBIE DOKTA MUMEO KAKATAA, KAMA HAKUNA NAMNA NYINGINE BASI WAMWACHE TU, HIYO HOMA MPATIE PARACETAMOL"
AKASEMA SAWA.
Bahati mbaya sana kila mshkaj wangu ambaye ni dokta nikimpigia hapatikani au hapokei simu.
Nilitaka japo nipate consent zao kitaalam nijue japo sidhan kama ningekubal..atleast nilitaka tu kusikia wanasemaje?
Ndio hivyo wakuu NIMEGOMA.Mwanangu mwenyewe wa kiume ndio huyo huyo, wemgime wote watatu ni wakike, sasa waanze tena kumuweka vidongo njia ya hajakubwa viyeyukie humo halaf nini kitafuata.HAPANA KWAKWEL.
IMAWEZEKANA NIMEKOSEA ILA NDIO HIVYO, NIMEGOMA.
Zipo Diclofenac IV mkuu, na nikushauri kitu katika mijadala ambayo usikurupuke kubisha ni hii inayohusu afya, watu wanafanya tafiti kila leo na mambo yanabadilika kwa kasi sana, so Jitahid kujiupdate na kusoma soma sana. Khan app na Medscape wawe rafiki yako sana.Diclofenac tangu lini ikachomwa kwenye mshipa jamani, kama vitu hamvijui/hamuelewa ni vyema kukaa kimya au ungeishia kusema kuchoma diclofenac tu
Ni mwanangu wa kiume, wa 3 kuzaliwa and he is 5 years now.
Kuepusha maneno mengi ni kwamba muda huu yuko hospitali, na mama yake na baada ya diagnosis ikaonekana ana mchafuko wa damu na homa iko juu ana joto flan .
Baada ya kupata majib maabara na kumuona dokta akauliza
"AMESHAPEWA DAWA?".
Wife akasema HAPANA, DAWA GANI?
Dokta akamwambia "KWA JOTO HILO, ALIPASWA KUWEKEWA KIDONGE KATIKA NJIA YA HAJA KUBWA.
Bas wakiwa kwenye mazumgumzo nikapiga simu (mimi ni type ile ya watu kero wasumbufu hasa napo hisi ishu ni kubwa na mimi ndio nilipaswa kuwepo sasa ndio hivyo tena sipo, sasa huwa napiga sana simu kutaka kujua everything going on)
Wife akapokea akanipa hayo maelezo na ndio alikua anaelekea kutimiza huo utaratibu.
Nikauliza "KUSHUSHA HOMA NDIO LAZIMA KIDONGE KIWEKWE huko?"
akasema "NDIO NIMEAMBIWA HIVYO".
Nikasema "MWAMBIE DOKTA MUMEO KAKATAA, KAMA HAKUNA NAMNA NYINGINE BASI WAMWACHE TU, HIYO HOMA MPATIE PARACETAMOL"
AKASEMA SAWA.
Bahati mbaya sana kila mshkaj wangu ambaye ni dokta nikimpigia hapatikani au hapokei simu.
Nilitaka japo nipate consent zao kitaalam nijue japo sidhan kama ningekubal..atleast nilitaka tu kusikia wanasemaje?
Ndio hivyo wakuu NIMEGOMA.Mwanangu mwenyewe wa kiume ndio huyo huyo, wemgime wote watatu ni wakike, sasa waanze tena kumuweka vidongo njia ya hajakubwa viyeyukie humo halaf nini kitafuata.HAPANA KWAKWEL.
IMAWEZEKANA NIMEKOSEA ILA NDIO HIVYO, NIMEGOMA.
SijakataaUnayembishia ndo anajua kuliko ewe
Ujinga ni suala mtambuka. Aliye mjinga haina maana hajui, noo..ila anajua kwa level yake na kwa mipaka aliojiwekea mwisho wa kujuaMjinga kweli wewe. Kama joto liko juu sana mbona ndio njia rahc zaid ya kushusha joto.
Kaulize vzr uje useme tenaDiclofenac tangu lini ikachomwa kwenye mshipa jamani, kama vitu hamvijui/hamuelewa ni vyema kukaa kimya au ungeishia kusema kuchoma diclofenac tu
Mkuu tatizo mnashindwa kunielewa..nilichokataa ni suala la homa (kitu ambacho mimi naona ni jambo la kawaida tuuuu) ukatumie njia ngumu hiyo (tena kwangu ni mara ya kwanza kuijua). Lingekua tatizo kubwa na la hatar nisingepinga.Siku mwanao akija kupata convulsion daktari akitaka kumuwekea diazepam per rectal uje ugome tena sawa?
THERE YOU ARE chief.. hiki umeongea ndio na mimi kilinifanya nifike hapa.Mbona it's not a big deal
Hicho kidonge angeweza kupewa mkeo akamwekea mtoto yeye mwenyewe
Kwa sisi tuliowahi kuuguza watoto mpaka unahisi nikiamka huyu simkuti hivyo vidonge ni kawaida sana
Unakuta mtoto anaumwa adi mshipa hauonekani kirahisi,dawa anatapika na homa iko juu,option hapo ni hiko kidonge tu
Sema ukiona una option ujue huyo mwanao hajafikia stage mbaya ila akifika nakwambia wala hiyo simu usingepiga wala kupigiwa wala usingetaka kujua wamemtibiaje bali ungetaka matokeo tu!
Hii mm hua natumia kila baada y miezi 3. Iko vzr mnooMpe maji ya dafu yenye ndimu, yanasadia kukata homa kwa watoto na wakubwa.
Sijaongelea habar za ushoga..nimeonngelea kuto ridhishwa kwangu na njia hiyo so wanipe nyingine maanq sikuona kama ni lazima kwa halinya mtoto ilivyokuaIkiwa hauna utaalamu na maswala ya Afya usipende kufanya mabishano kuhusu Afya ya MTO to wako .
Kuhusu MTU kuwa shoga hakutokani na kuwekea kidonge nyuma
Kuwa MTU Wa kufikiri Kwa kina
Naona iyo Dawa inakuwa Recommended sana kwa watoto siku hiziNi mwanangu wa kiume, wa 3 kuzaliwa and he is 5 years now.
Kuepusha maneno mengi ni kwamba muda huu yuko hospitali, na mama yake na baada ya diagnosis ikaonekana ana mchafuko wa damu na homa iko juu ana joto flan .
Baada ya kupata majib maabara na kumuona dokta akauliza
"AMESHAPEWA DAWA?".
Wife akasema HAPANA, DAWA GANI?
Dokta akamwambia "KWA JOTO HILO, ALIPASWA KUWEKEWA KIDONGE KATIKA NJIA YA HAJA KUBWA.
Bas wakiwa kwenye mazumgumzo nikapiga simu (mimi ni type ile ya watu kero wasumbufu hasa napo hisi ishu ni kubwa na mimi ndio nilipaswa kuwepo sasa ndio hivyo tena sipo, sasa huwa napiga sana simu kutaka kujua everything going on)
Wife akapokea akanipa hayo maelezo na ndio alikua anaelekea kutimiza huo utaratibu.
Nikauliza "KUSHUSHA HOMA NDIO LAZIMA KIDONGE KIWEKWE huko?"
akasema "NDIO NIMEAMBIWA HIVYO".
Nikasema "MWAMBIE DOKTA MUMEO KAKATAA, KAMA HAKUNA NAMNA NYINGINE BASI WAMWACHE TU, HIYO HOMA MPATIE PARACETAMOL"
AKASEMA SAWA.
Bahati mbaya sana kila mshkaj wangu ambaye ni dokta nikimpigia hapatikani au hapokei simu.
Nilitaka japo nipate consent zao kitaalam nijue japo sidhan kama ningekubal..atleast nilitaka tu kusikia wanasemaje?
Ndio hivyo wakuu NIMEGOMA.Mwanangu mwenyewe wa kiume ndio huyo huyo, wemgime wote watatu ni wakike, sasa waanze tena kumuweka vidongo njia ya hajakubwa viyeyukie humo halaf nini kitafuata.HAPANA KWAKWEL.
IMAWEZEKANA NIMEKOSEA ILA NDIO HIVYO, NIMEGOMA.
Sasa ungemtibu wewe. Huwez kumgomea Dr bila kuja na sababu. Unakataa tu bila sababu then umempeleka mwenyewe hospital. Hujui joto likivuka 42 mtoto anaweza kupata degedege na kukakamaa kunakosababisha kilema cha maisha. Usifanye tena huu ujinga next time. Hujui kitu uliza acha ushamba wa kujifanya unaleta ubabe kwenye kila kitu.Ujinga ni suala mtambuka. Aliye mjinga haina maana hajui, noo..ila anajua kwa level yake na kwa mipaka aliojiwekea mwisho wa kujua