Nimegomea pendekezo la tiba toka kwa daktari

Maherufi makubwa yanatumiwaga na matapeli
That has been too personal and illogical thinking chief.. pole sana ila mpumbavu huonekana mwerevu akikaa kimya mpaka wakat atakapofungua kinywa chake.l kama hiv.. maada hii na utapel wap na wapi? Au na wewe ndio wale TUMA KWENYE NAMBA HII JINA LITAKUJA ras jeff kapita ?
 
Ni kweli una hoja, Ila daktari alikuwa sahihi ingawa wengine wanaosema kuna alternative.

Mimi ni shuhuda, mtoto wangu wa KIKE miaka 5 alipata joto kali sana, na kwa vile mimi huwa nina utaratibu wa kuwapeleka wanangu hospitali mwenyewe hata km mama yao yupo idle, nilipofika wakampima wakasema wamuwekee hicho kidonge, sikubisha bali niliwambia lazima niwepo kwenye hicho chuma Cha daktari. Doctor alikuwa wa kiume tena kijana mdogo tu, nilisimama humo Hadi nikatoka naye kuendelea na tibaa zaidi.

Ila na mimi walinilazimisha alazwe nikagoma na ulikuwa tayari usiku wa saa 6. Nilikuwa na sababu zangu binafsi za kugoma, wakataka kumchoma sindano ya christapeni nayo nikagoma nikawambia wanipe nitamchomea nyumbani. Ilikuwa private hospital.

Kwa hiyo huna baya, ingawa haikuwa mbaya pia maan hicho kidonge naona wanakiamini japokuwa wa kwangu homa ilishuka kidogo sn.

Mungu walinde watoto wangu, Mungu ilinde familia yangu.
 
Acha kutumia herufi kubwa. Hizo zinatumiwa na matapeli na waganga. Trust me that is the position
 


Ni sipo kuwepo eneo la tukio ufuatiliaji wangu ni kama wako, wasiwasi ndo maisha, pongezi saaaaaana....

Hapana mambo ya hovyo hovyo.
 
Una haki ya kukataa kama kuna alternative.
Mimi wangu alikua hajapata choo karibia siku 4, mamake kapagawa. Akaenda naye hospital anapofanyia (yeye anafanyia CTC ila si mtaalam wa afya.). Daktari akasema kesi ndogo hiyo, wakamweka kipunje cha sabuni kwa rectum......dogo akapata choo.
Vitu vingine tunaexaggerate wabongo. Tusicomplicate maisha kihivyo. Kwamba akiwekwa dawa ndo awe shoga?
 
Acha kutumia herufi kubwa. Hizo zinatumiwa na matapeli na waganga. Trust me that is the position
Daahh!! Sawa mkuu. Sitarudia tema 😂. Kinachonipa shida kuelewa ni uhusiano wa herufi kubwa na matapel!😆😆
 
Uko sahih
 
Sikuwahi kuliwazia hili ila inafikirisha hasa kwa madaktari kupenda ku recommend hii dawa kama vile hakuna mmbadala mwingine.

Ukute ni moja ya maagizo ya watu LQGBT kutaka kila mtu awe mdau wao.

Sitokubali tena mwanangu achomekwe hii dawa makalioni
Kwani alikuwa anaingizwaa
 
pole sana mkuu.
ulikuwa sahihi ukizingatia unafahamu baadhi ya dawa za kushusha homa ama joto.
wasiwasi ndio akilii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…