Quaresma Fai
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 590
- 630
Assume temp ni 39.9°c,HUwa naamin kwamba kila kitu hapa dunian kina alternative. Nisipoipata kwako haina maana haipo, ni uwezo wako umeishia hapo. Wengine wataanzia ulipoishia wewe. Ndio maana kuna REFFERALS
Dawa iliyopo ni hiyo tu,
Wewe unaendelea kuhoji kuhusu alternative na Bado unasisitiza Kama hakuna upewe referral.
Kinachofuata utajua hujui ila Mungu tu. Maana utamtamani hata huyo mtoto ambaye huna hakika kwamba atakuwa shoga.
Pamoja na haki ya kuhoji kuhusu alternative na kuomba referral, pia twapaswa kuelewa kuwa Kuna 'State of emergency ' ambapo huitajika maamuzi sahihi na kwa haraka ili kuokoa maisha ama uharibifu wa utimamu wa mgonjwa.
Paracetamol suppository imekuwa msaada mkubwa kwenye situation hiyo.
Inashusha temperature haraka na ni affordable almost kwa wagonjwa wote.