Nimegugo dalili zote UKIMWI, ninazo

No no hayo ni maamuzi ya jabu kukaa naugonjwa pasipo sababu muone mtabibu wa afya upate vipimo usije jifia pasipo sababu sasa itikia kama feruzi
 
Ukimwi sio death sentence kama zamani, ni kitu cha kawaida kabisa, ukijua unao tumia dawa na ishi kwa misingi ya afya bora kama chakula na mazoezi, utaishi nao mpaka uzee ukuchukue
 
Ukimwi sio death sentence kama zamani, ni kitu cha kawaida kabisa, ukijua unao tumia dawa na ishi kwa misingi ya afya bora kama chakula na mazoezi, utaishi nao mpaka uzee ukuchukue
Hapo kwenye dawa lazima uwe unapanga foleni CTC Kila mtu akuone weww ni affected 🀣
 
Zinaweza kua dalili za ugonjwa mwingine pima kisha ukiwa nao nitafute dawa ipo 0712505049
 
Sasa mtoto mzuri kama wewe ukimwi uutolee wapi? Alafu kumbe mafua yanakuendesha hivyo? 😎
 
Sasa mtoto mzuri kama wewe ukimwi uutolee wapi? Alafu kumbe mafua yanakuendesha hivyo? 😎
Nilivyoona notification Analyse nimecheka kqbla ya kujua umeandika niniπŸ˜‚

Aisee ngoma haina mwenyewe! Tuombeane afya njema.
 
Huku jeshini tumepoteza mkanda, kumbe unao huko? πŸ˜€
 
Nilivyoona notification Analyse nimecheka kqbla ya kujua umeandika niniπŸ˜‚

Aisee ngoma haina mwenyewe! Tuombeane afya njema.
Ukimwi ni uzushi tu, Wala usitishike. Yani upungufu wa kinga za mwili za mtu mwingine, ukupate na wewe? Hivi inaingia akilini?
 
Kuna kipindi niligugo dalili nikaona ninao kumbe hamna. Nimepima mara sita Sasa hakunaga ila Kwa papuchi nimekuwa mpole
 
Kwanini unahisi kuwa umeathirika ukiachana na hizo dalili? Je, kuna matches ambazo umekuwa au ulikuwa ukiuza kabla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…