Nimegugo dalili zote UKIMWI, ninazo

Kuna Dokta aliwahi kunambia principle moja kipindi nimelazwa kwasababu ya Mercy alinambia "NEVER GOOGLE ABOUT YOUR HEALTH ISSUES" naitumia mpka Leo na naona inanisaidia
 
Pole kupima ndo kutatoa suluhisho
 
Kama na mkanda wa jeshi uliumwa basi huo wenyewe
Si lazima! Mkanda wa jeshi ni dalili ya low immunity ambayo inaweza sababishwa na magonjwa mengine kama cancer etc. Muhimu tu akapime.
 
Bahati nzuri hakuna ugonjwa unaoitwa UKIMWI!
Ka kinga tu kamepwaya kidogo kwa tu virus flan flan.
Tu virus twenyewe tumeshaishiwa maseke ya kukunyanyasa.
Upime au usipime we kula milo ya kukuongezea kinga ya magonjwa yote kama huna tu virus vile.
Uzuri kula kiafya ni gharama ndogo kuliko kula kiuharibifu!
Na 2026 waliotengeneza hizo virus wanaanza kutoa chanjo ili kupisha mradi mwingine unaolipa zaidi utakaoenda sambamba na homa ya ini.
Kuitetea kinga ya mwili wako ni pamoja na kuacha vikamua kinga hasa ngono mchanyato na pombe sulubishi(kunywa kiasi kuipa nafsi utulivu na uchangamfu)
......hapa kayani niko na aliyepatikana na virus vile korofi (kama mbu wa dar) mwaka 1989!, anakula pesa za shirika na ziara za nje zisizoisha!
WHAT YOU HAVE TO FEAR IS FEAR ITSELF!
 
Unafaa kuwa mshaur nasaha Ila umekosa vitengo, yani unaongelea HIV kama dada ako vile. Huu ugonjwa umeuwa mabillion mkuu, kaa kimya
 
Kapime acha uoga Ukimwi ni malaria TU siku hizi kwa msaada wa watu wa marekani.
Ukimwi ulikuwa zamani sio siku hIzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…