The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
kwahiyo ina maana Fidel sio muumini wa mtandao? I cant biliv
HA HA HA HA HA Fidel hebu njoo ujibu tuhuma hapa banaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo ina maana Fidel sio muumini wa mtandao? I cant biliv
Askofu, Mchungaji, Padre, Sheikh, waanze kuhimiza uzinifu?! NoooooKwa hiyo unataja watu waanze kuupigia debe uzinifu, ili waonekane si wazinifu?
Kwa hiyo unataka kuniambia mama watoto wangu anaepiga vita kila siku kuwa kucheat ni jambo baya la la laana ina maana yeye ndio anamegwa ama?
Kwa hiyo unataka kuniambia mama watoto wangu anaepiga vita kila siku kuwa kucheat ni jambo baya la la laana ina maana yeye ndio anamegwa ama?
Inawezekana kabisa aisee. Kwani wewe huyo mama watoto wako uko naye 24/7 365/366?
...wale watu wapendao sana kuutetea uzinzi/ uzinifu ni maneno tu na wala si wazinifu kihivyo. Pia wale wapendao kuupiga vita sana ndio wenyewe haswa kwenye hayo mambo.
Unakuta mtu anatembea na mume wa mtu au mke wa mtu lakini Teamo au Aspirin wakiutetea watu hao wanakuwa mstari wa mbele kuulaani huku matendo yao hayalingani na maneno yao ya JF.
Je, huu ni unafiki ama?
Duh aisee basi tutakwisha wengiInawezekana kabisa aisee. Kwani wewe huyo mama watoto wako uko naye 24/7 365/366?
Duh aisee basi tutakwisha wengi
Hapa JF tunafundishana........... si wanasema "usifwate matendo yangu, fwata maneno yangu"?
wanaopinga hapa na kutupa sababu za kuridhisha kupinga wanatuelimisha, so hatujali kama wao wanafanya
ila Fidel wewe unahubiri unachokitenda. Si ndiyo?Wachungaji huwa wanahubili nini? Na nini wanakifanya hapo utapata jibu
Mmh! Utakatifu wa machoni>mdomoniNdivyo hatakwa wachawi wakubwa na watu wote vinara wa mambo machafu! Machoni pa watu ni watakatifu usipime..........wengine wamefikia hadi kuwekewa mokono ya baraka kwa utakatifu wao wa machoni