Nimegundua dini ya Kiislam haina unafiki

Kweli kabisa mkuu mie nionavyo hapa duniani ni Dini mbili tu zilizonamuelekeo dhabiti ambazo mpaka sasa misimamo yao iko imara ni Wasabato na Waislamu tu wengine tunaenda kupoteza wakati wikendi ishe tu kwasiku

Hahahha dah we jamaa bhana wasabato ni waislam kasoro nusu
 
Kwa hiyo mpaka muda huu, matokeo ni sare ya 3-3!
 
Ni kweli kabisa hao uliowaita chinja chinja ni waislamu, ila huo uchinja chinja sio uislamu, ndg yetu kazungumzia uislamu na sheria zake, sio waislamu na mambo yao!! wapotofu wapo kila dini...
 
Wananiachaga hoi wale wanaotumia lugha ya tangi wakati wa ibada. Yaani ni usanii mtupu yaani hata wenyewe huwa hawafahamu wanachokiongea
 
sheikh wangu
1.sasa hapa mnafiki ni nani!!!uliishawahi kukuta waislam wanaomba waizike maiti inayosadikika kutelekezwa na wakristo!!mkuu kaa kwa kutulia huujui uislamu bado.
2.kila kitu kinafanywa kwa kiasi,ukizingatia matamanio ya mwili kuna muda unatamanj kuzini na mke wa jirani yako ila unajizuia sababu ni mwenendo wa ulafi zaidi.
wanyama unaowatolea mfano hapo hupandana kwa sabau ya uzao tu,ni nyinyi binaadam ndio mnaleta mambo ya nyege nyege na misisimko.kama hakutoshi mmoja wanne watakutoshea wapi!!!!utataka zaidi na zaidi.
wapo matajiri kibao wana vigezi vya kuwa na mke zaidi ya mmoja na hawafanyi hivyo,sababu ni ile ile ni kujiendekeza tu.
Sasa kuna dini za wenzetu kwao mke ni mmoja tu anaye nyumbani lakini unakuta pembeni ana kimada ameweka na anakigharimikia kila kitu na hata kumjengea na kuzaa naye na hii anafanya siri viongozi wake wasijue kisa anaogopa atatengwq
hii sio unafiki ni maandiko mkuu,swala la kufuga kimada limekaa kihuni kabisa wala halihusiani na katazo,maana hata hao jamaa zako pamoja na kuruhusiwa hawaoi wanne wanateleza nje kama kawaida.
.Huu ni unafiki mkubwa maana mungu aliye hai anaona unadanganya afadhali waislam wako wazi hawana unafiki kwa jambo hili.
kama unazungumzia maandiko sawa,lakini hilo ni swala ambalo ni la Mungu mwenyewe kwa mujibu wa kila upande,unakosea unaposema ni unafiki.
kwahiyo swala la kuhukumu mtu asiyehudhulia ibada akafa mmemwachua Allah,ila kujiita nabii tu mnataka mujitwishe uhakimu wa Allah??kuna unafiki na zaidi ya huu sheikh wangu????
Mfano mzuri hili kombe la dunia la nchini Qatar wameweka misimamo yao juu ya kile wanacho amini na wanachotaka bila kuyumbishwa na nchi za magharibi zinazoshabikia Ushoga
mpira tu wenyewe kwa vigezo vya uislam ni kichocheo cha maasi,kajifunze ni vitendo gani havikubaliki na uislam kwa maana vitachochea maasi na machukizo kwa Allah,mpira ni mmoja wapo.ndio sababu mujahdeen huwa wanaleta fujo sababu waislam wengin mna unafiki.
Mimi sio muislam lakini hakika nimeipenda misimamo yao
inabidi ufanye jambo usilimu mkuu,maana ukristo hautabadilika hata siku moja.
 
Vipi kuhusu mtu aliekufa kwamba masikio yake yanasikia hata akiwa amefukiwa tayari huko ndani ni kweli? Macho hayafanyi kazi wali ulimi lakini sikio husikia kwa wewe hii iko sawa?

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
yani izo mbususu hapo mbenguni ni balaa buluu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mambo ni buli buli, au nikikaribia kufa na silimu
 
1. Je umejiuliza kwa nini dini zingine mtu akifa hazikwi?
2. Hata baada ya ruhusa ya kuoa wengi, mbona kuna mambo mchafu zaidi?.
Maeneo yoye yaliyowahi kaliwa na waarabu kuna wafi.raji na mashoga wengi

3. Dini haina wanaoitwa manabii, ila kuna wanaoitwa Magaidi!. Uliishawahi sikia nabii kapigwa risasi? au kafugwa na wafuasi wake? au kawahimiza wafuasi wake wapige, waue wengine?


KWENYE HIYO HIYO DINI YA KWANZA DUNIANI
USISAHAU NDIO HAO HAO WANAONGOZA KWA CHUKI,VISASI NA MAUAJI.
UMEISHA WAHI SIKIA MATESO WANAYOPATA WAFANYAKAZI WAAFRIKA, INDONESIA, WAHINDI HUKO ARABUNI?
 
Hahahaaa ni sahihi. sema point number mbili hapo kwa hesabu ya sensa na makazi inaonesha hata Mungu hataki tuoe zaidi ya mmoja. Kila mwanaume aoe hata wawili watanzania million 15 itabidi wajipige selfie
 
Mleta mada nilichogundua suala linalokusumbua wewe sana ni namba 2.
 

Unaonekana hujatembea.Tembea uone mengi kwanza mtu ataoaje akijijua ni masikini hawezi watimizia haja wake zake kutunza na tamaa za mwili.Arabuni wana wake wengi je ni masikini kama wewe na mimi?
 
Duniani ni majuzi tu wametangaza tumefika billion nane
Lakini bado kuna nchi 61 ambazo watu wake wamepungua sana kwa kutokuzaana na sababu zingine labda zinazokataliwa huko kwenye World Cup

Maana yangu ni kuwa ni bora kuoa na kuongeza wake na kuwahudumia kisheria kuliko kupoteza mda na hawara ambae baadae hana hata urithi wa watoto wake.

Kila mmoja afurahie maisha yake na anavyoamini
Ila mimi nikifa kama kawa ikithibitika nimekufa nizikwe haraka popote nilipo
Maana ardhi yote ni sawa tu
 
MASHA'ALLAH karibu sana NostradamusEstrademe
 
Hapo kwenye kuoa mke zaidi ya mmoja, hata mimi niko upande huo. Ila hapo kwenye sheria, hapana aisee! Kuna baadhi ya sheria zao, hazina mantiki kwenye dunia ya wastaarabu.

Kuhusu kuzika watu wasio waumini, nadhani wakristu tuko sahihi.
Hatuko sahihi maana tunahukumu wakati mwenye mamlaka ya kuhukumu ni Mungu

Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nawashauri, njia nzuri kufahamu DINI za ukristo na Uislamu ni kuamua kuzisoma kwa utulivu bila ya pressure au influence ( OPEN MINDED). Bila ya kujali baba, mama au ndugu familia ni dini gani.

Kila mtu atabeba mzigo Wake . Ukishavuka miaka 18 una fursa ya kufanya maamuzi yako ya "' life after death...'"


Ukiziona logics ...hutajenga jazba na hasira ya kutokana DINI nyingine, bali utaheshimu na kulinda ulicho nacho...
 
Hapo kwenye kuoa mke zaidi ya mmoja, hata mimi niko upande huo. Ila hapo kwenye sheria, hapana aisee! Kuna baadhi ya sheria zao, hazina mantiki kwenye dunia ya wastaarabu.

Kuhusu kuzika watu wasio waumini, nadhani wakristu tuko sahihi.
Wasio waumini tusiwazike kwanini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ