NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Moderators naomba mada hii msifikirie nataka kuleta udini maana katiba ya nchi yetu haina dini naongelea dini moja tu ya uislam sitataja dini nyingine kuzikandia maana ni ukweli ulio wazi kati yetu hadi sasa hakuna ambaye ana uhakika ni dini ipi mungu anaikubali.Najua kuna dini za Ibrahima yaani ukristo na uislamu na kuna dini nyinginezo nchini kwetu za kienyeji,Budha,sikh,Hindu na nyinginezo.Mimi najikita kwenye uislamu peke yake dini ya uislamu haina unafiki kwasababu zifuatazo.
1. Mtu akifa hata kama alikuwa ha sali,alikuwa mnywa pombe,hashiriki kwenye misiba na wenzake lakini waislamu wataungana pamoja kumswalia na kumsetiri mwenzao haraka sana wakiamini atajibu mwenyewe huko mbele ni tofauti na dini zingine hawamsalii na wengine wanazila.
2. Suala la kuoa wake wengi ni ukweli ulio wazi kimaumbile hata wanyama kiumbe cha kiume kimejaliwa kuweza kumudu kuwa na wake zaidi ya mmoja.Na ndio maana hata kwenye zizi la ng'ombe dume linakuwa moja tu linahudumia majike hata 30.Unapofanya tendo la ndoa zile mbegu zikitoka zinatoka zaidi ya milioni 300 lakini mwanamke anakuwa na yai moja tu la kutungisha mimba.
Waislam walishaliona hili mapema dini haikatazi kuzidisha mke zaidi ya mmoja japo unatakiwa utimize masharti flani kwanza.Hata hivyo haina maana waislamu wote wana mke zaidi ya mmoja kwa sababu mbali mbali za maisha magumu ila ni ukweli ulio wazi mke mmoja ni kero tunavumilia tu kuogopa gharama.
Sasa kuna dini za wenzetu kwao mke ni mmoja tu anaye nyumbani lakini unakuta pembeni ana kimada ameweka na anakigharimikia kila kitu na hata kumjengea na kuzaa naye na hii anafanya siri viongozi wake wasijue kisa anaogopa atatengwq.Huu ni unafiki mkubwa maana mungu aliye hai anaona unadanganya afadhali waislam wako wazi hawana unafiki kwa jambo hili.
3. Sheria za kislam ziko wazi wazi kabisa na misimamo yao haitetereki na ndio maana huwezi sikia muislam anajiita nabii zama hizi lakini dini zingine siku hizi kuna manabii hadi wanawake na ziko kibiashara zaidi.Akitokea muislam akisema yeye ni nabii adhabu yake mnajua.
Mfano mzuri hili kombe la dunia la nchini Qatar wameweka misimamo yao juu ya kile wanacho amini na wanachotaka bila kuyumbishwa na nchi za magharibi zinazoshabikia Ushoga
Mimi sio muislam lakini hakika nimeipenda misimamo yao