Nimegundua hata kuku (majogoo) yanapenda mitetea minene iliyojazia

Nimegundua hata kuku (majogoo) yanapenda mitetea minene iliyojazia

Kwani kuku nae ana eliboloo kubwa mpaka atake kuku mwenye trakoo
 
Unataka kusema ni sawa mwanaume kutembea na demu aliyejaziajazia idara zote, wowowo, hipsi, chuchu saa sita, sasa hao kimbaumbau nani atawashughulikia ili nao wapate huduma kama hao wengine wanaopata toka kwa majogoo?
 
Zingatia mkuu majogoo yana penda sana mijeke minene na huwa hayachelewi kupandwa na yanagombaniwa
 
aisee mbona huyo mtetea kama umemshushia net mkuu
Huyo alikuwa anataka kutaga akaingia kwenye net mkuu. kama umewahi fuga sio kitu kigeni kuku kwenda kitandani ama popote pale akiwa kwenye harakati za kutaka kutaga ni picha nilitumia dogo anaye watunza
 
Back
Top Bottom