Nimegundua humu jf watu wanapenda kunyanduana sana

Hata wewe mwenyewe unatatizo zito sana,halafu inaonekana wewe ni mtu unaependa kufuatilia mambo yasiyokuhusu na kuyafanya yako
 
Maendeleo gani bhana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we pambania familia ile vizuri inye vizuri ilale pazuri na hela za just incase ziwepo pia

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji15] aiseeee!!! Kwa kweli maendeleo ya nyooko
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji15] aiseeee!!! Kwa kweli maendeleo ya nyooko
Si ndo hapo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kuandamana hawawezi wanachoweza ni kupiga kelele mtandaoni tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Maendeleo maendeleo wooi
 
Si ndo hapo [emoji3][emoji3][emoji3]kuandamana hawawezi wanachoweza ni kupiga kelele mtandaoni tu [emoji3][emoji3][emoji3]

Maendeleo maendeleo wooi

Kuandamana mchezo na vitambi vyao vya maharage na ndizi mbivu, wanaweza kukimbia?!! Mazoezi yenyewe ya kusuasua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wao wakae tujadili ni vipi tutakula pesa zao [emoji16]
 
Sensa ya mwisho, yaani miaka 11 iliyopita watanzania mlikua milioni 33 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…