youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
- Thread starter
-
- #21
Ya mimi apaNa wewe umeweka picha ya nani kama Avatar yako humu JF?
Subira kidg, hili ni jambo kubwa, inabidi niyajenge nae huko Pm afu nije humujina lake tafadhali
Shemeji akoThats mm mkuu, na hiyo ndo pic alochukua shemej ako ajae
Subira kidg, hili ni jambo kubwa, inabidi niyajenge nae huko Pm afu nije humu
Hivi upooooKwani wewe umeweka picha ya nani?
Mkuu wewe hakuna manzi amechukua avatar yako?[emoji16]jina lake tafadhali
Mtoa mada hajazoeaNimejikuta nacheka tuuu sasa ndio ninii hivyo kama kaweka picha yako relax mkuu vya kawaida hivyo
Yaani weweeeIngia king mitego ya warembo nahisi ndio unaanza kukutana nayo
Hajazoea na wakati vya kawaida hivyo humu halaf ukiona mtu kaweka avatar yako ukue kakupenda jiongeze ye anakuja kulialiaMtoa mada hajazoea
[emoji23][emoji23][emoji23]Unaonekana mshamba sn
Khaaa jina langu mm jaman kwenye uzi wa kuumizwa uzi upi huo tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa nini ulihisi mm nimeweka avatar ya huyo mtu naanzaje me naweka avatar inayonihusu jamanTokea nione jina lako mara tano sijui kwenye uzi mmoja wa kuumizwa sijakaa sawa, aunt yako espy ndio vidole viliisha kuhesabu jina lake...
Nilifikiria wewe ndio umeweka avatar ya jentoman!!!!
Yupo aisee, nilijaribu kumuelezea lakini akakaza kubaki nayo hadi leoMkuu wewe hakuna manzi amechukua avatar yako?[emoji16]
Mkuu si umtaje tu au ndio ATTENTION SEEKER/KIKI?Subira kidg, hili ni jambo kubwa, inabidi niyajenge nae huko Pm afu nije humu