Nimegundua kuna mdada makini humu JF kaweka picha yangu kama avatar yake

Nimegundua kuna mdada makini humu JF kaweka picha yangu kama avatar yake

Tokea nione jina lako mara tano sijui kwenye uzi mmoja wa kuumizwa sijakaa sawa, aunt yako espy ndio vidole viliisha kuhesabu jina lake...

Nilifikiria wewe ndio umeweka avatar ya jentoman!!!!
Khaaa jina langu mm jaman kwenye uzi wa kuumizwa uzi upi huo tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa nini ulihisi mm nimeweka avatar ya huyo mtu naanzaje me naweka avatar inayonihusu jaman
 
Msiiiiiiiiiiiiieeeew[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Back
Top Bottom