Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Hapa Namuangalia Harry Kane Sijui Ameshindaje Hii Tuzo Ya Nobel Wakamuacha Harmorapa Akakimbia Mpaka Sryia Akakuta Na Eminem Kashinda BIKO Anakabidhiwa Ela Na Kim Jong Un.Hayo matatizo ni mengi sana haswa nyanda za chini kaskazini ilianza kudhihirika pale Tanesco walivyoona Koffi olomide hafai na badala yake wanamhitaji Kichuya.
Wenyewe walidhani kila asubuhi wakija wanajiandaa wanaenda mahakamani ili kuendelea na ujenzi wa taifa, mimi sijui lakini majirani wananiambia watoto wangu wapo la pili au la tatu.
Haya mambo hutokea kwa wateule pekee[emoji1] [emoji1]Mkuu wewe hakuna manzi amechukua avatar yako?[emoji16]
Kwa Jf ndo mara ya kwanza ila huku ulimwenguni ni vurugu tuIngia king mitego ya warembo nahisi ndio unaanza kukutana nayo
Nadhan siku ikikutokea utshangaa km mm ninavyoshangaa yaan noma sanaSi ungeanza kuyajenga nae huko PM toka mwanzo? Kwa muktadha huo haukustahili kuiweka hapa hii mada wala kuuliza kadamnasi
Hutak au, hii ni kwa mara ya kwanza JF[emoji127]Shemeji ako
Hili nalo swal, mbona nishalijibu pitia pitia utakuta jibu lakoKwani wewe umeweka picha ya nani?
Tumezoea kuviona watsup ila kwa Jf hii ni exclusiveNimejikuta nacheka tuuu sasa ndio ninii hivyo kama kaweka picha yako relax mkuu vya kawaida hivyo
Huwa inatokeaga saa hiiLabda uliona vibaya...sometimes ni network...ile nafungua hii thread kwa mara ya pili naona avatar yangu kwa joseverest...
View attachment 611500
Mkuu labda network huwa inatokeaga sana tuTumezoea kuviona watsup ila kwa Jf hii ni exclusive
Vyote kwa pamoja!Hapa wewe unataka nini sasa? Ushauri, kejeli, matusi au sijakuelewa
Daah hii nalo neno sema nn hujawaza kwa usahihi, jipangeDaah,umetafuta kiki kishamba saaana.Ukute hyo ID nyingine ya kike unaimiliki wewe mwenyewe pia
Naomba utengeze thread yako watu watoe ushuhuda, work on it[emoji106] [emoji106]Mkuu labda network huwa inatokeaga sana tu
Lakini kama wote tukiamua kwenda kutoa damu ni dhahiri kombe la dunia tutachukua na Bakhresa ataongeza uzalishaji wa mikate. Na bodi ya korosho ifanye mpango kiatu cha dhahabu wakamkabidhi Diamond.Kama Hapa Namuangalia Harry Kane Sijui Ameshindaje Hii Tuzo Ya Nobel Wakamuacha Harmorapa Akakimbia Mpaka Sryia Akakuta Na Eminem Kashinda BIKO Anakabidhiwa Ela Na Kim Jong Un.
Hata mie ni mteule sema nipo nyuma ya hii fake ID[emoji12]Haya mambo hutokea kwa wateule pekee[emoji1] [emoji1]
Kwendraaaaaaa unataka kiki kwa pikipikiNaomba utengeze thread yako watu watoe ushuhuda, work on it[emoji106] [emoji106]
[emoji16] [emoji16]wasukuma bhana, ndio maana kabila lenu huwa linatumika kudepict scenario yoyote yenye maudhui ya USHAMBA.