Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Mmh auntie mbona umeniacha himo jamanHahahaaaaa!!! Ule uzi wa jina usilopenda kulisikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh auntie mbona umeniacha himo jamanHahahaaaaa!!! Ule uzi wa jina usilopenda kulisikia.
Sikumbuki heading ngoja niusake niku-tag.Mmh auntie mbona umeniacha himo jaman
Sawa auntieSikumbuki heading ngoja niusake niku-tag.
[emoji23] [emoji23]Akwendre KK moyo akapewe hukooo
Pamoja DaktariHizi ndo akili zangu za likizo mkuu, hili jukwaa ndo linanipa burudan mana jukwaa la elimu kila mtu analalamikia mikopo
Tayari mama, nenda kacheki.Sawa auntie
Shikamoo lakini KK ujue hatujasalimiana kabisa[emoji23] [emoji23]
Nakusalimia pia Shunie.Shikamoo lakini KK ujue hatujasalimiana kabisa
Hilo neno linafunga baadhi ya fursa.Hutaki shikamoo eenh nyie ndio wale kila mtu mjini babe KK
Kumbe na watu wa JF huwa wanakutanaOmba mkutane nae atakupa sababu ya kuweka picha hiyo
Akili zangu za likizo mkuu, kuna tatzo kwan![]()
Mwanafunzi wa UDSM anaweza kutema upupu hadharani kama hivi,akili yangu anakataa kulikubali hili
Jf kuna madada wa uongo sana most are fake bora hata huko kwingine wanajiweka wenyewe japo filters zinakua nyingi ila jf wadada wote wanadownload avatar zaoAnakupenda
Kwan kuna mtu kaibiwa mbona ka vita hatuko somalia dadaAkwendre KK moyo akapewe hukooo
Usipende sana kudhan,utarudi kucomment siku ukiwa na uhakikaHivi hili nalo LA kuchukua Picha yako lakulitolea povu?nazan unatafuta kiki!