Nimegundua kuna mdada makini humu JF kaweka picha yangu kama avatar yake

Sijaelewa mantiki yako mkuu... Umaarufu wake unasadifu nn kwenye avator aliyoweka na una hakika pasi na shaka kwamba ni Mwanamke, labda ni ndugu yake na cameruni yule wa UK anakuvutia pumzi
 

Mwanafunzi wa UDSM anaweza kutema upupu hadharani kama hivi,akili yangu anakataa kulikubali hili
 
Ila hii kitu ipo sana humu JF, kuna muda unaweza ona members karibia wengi kama wameweka Avatar yako...

Ila baada ya muda nadhani system hujirekebisha and things goes back to normal...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…