youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
- Thread starter
-
- #121
Niko nayajenga PM huko mamii nitaleta mrejesho wa muvii linaloendelea hukoKuna mda humu jf unakuta pic yako imejiweka kwa avatar ya mtu mwingine. Nami kuna siku nilishangaa ila nilikuja gundua ni matatizo ya jf wenyewe.
Sasa ww hujafaya utafiti. Umekurupuka ukadhani unapendwa ptuuuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huo mrejesho bado tuNiko nayajenga PM huko mamii nitaleta mrejesho wa muvii linaloendelea huko
basi hawa Mods watagombanisha watu tehe tehe teheKuna mda humu jf unakuta pic yako imejiweka kwa avatar ya mtu mwingine. Nami kuna siku nilishangaa ila nilikuja gundua ni matatizo ya jf wenyewe.
Sasa ww hujafaya utafiti. Umekurupuka ukadhani unapendwa ptuuuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani [emoji23] [emoji23] [emoji23]basi hawa Mods watagombanisha watu tehe tehe tehe
Wewe ni Great Thinker...huu ndio ukweliDaah,umetafuta kiki kishamba saaana.Ukute hyo ID nyingine ya kike unaimiliki wewe mwenyewe pia