youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
- Thread starter
- #121
Niko nayajenga PM huko mamii nitaleta mrejesho wa muvii linaloendelea hukoKuna mda humu jf unakuta pic yako imejiweka kwa avatar ya mtu mwingine. Nami kuna siku nilishangaa ila nilikuja gundua ni matatizo ya jf wenyewe.
Sasa ww hujafaya utafiti. Umekurupuka ukadhani unapendwa ptuuuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]